Nisipomuona Buffon golini hukosa raha
Nisipomuona Buffon golini hukosa raha
Salaam wakuu,vipi hapa muitaliano anaweza kutoka matokeo yakienda hivi au?
Mabingwa watetezi leo lazima washinde ili waingie last 16.....katika mechi za leo kila timu inaweza kuingia last 16 hivyo kufanya mechi hizi ziwe DO or DIE......sikumbuki mara ya mwisho bingwa mtetezi kutolewa grp stage.....
Salaam wakuu,vipi hapa muitaliano anaweza kutoka matokeo yakienda hivi au?
Balantanda.... Hii Imelda vibaya
host wa kwanza ever kutolewa first round ameshapatikana- south afrika. Labda Leo tutapata defending champion wa kwanza kutoka round ya kwanza!
sio kutoka tu bali atatoka akiwa mkiani kwa hili gurupu .what a shame!