World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

US hawatishi sana, ni wakati muafaka wa Ghana kusharpen umaliziaji.

Ghana wanacheza strategic football, kuna jamaa yangu Ghanaian aliniambia kuwa wachawi wote wa Ghana wapo nyuma ya timu na wao ndiyo walikuwa wanapanga matokeo haya, yaani nimecheka mpaka mbavu zinaniuma, kumbe kamati za ufundi si kwa timu za biongo tu hahaha! Sijui kama hii ina-work katika mpira wa sasa wa kisayansi. All the best nina hakika Ghana wanaweza washangaza USA kwenye knock out.
 

Ghana's striker Asamoah Gyan (R) vies with Germany's defender Per Mertesacker during their Group D first round 2010 World Cup football match on June 23, 2010 at Soccer City stadium in Soweto, suburban Johannesburg.




Ghana's striker Asamoah Gyan (C) reacts after Germany's midfielder Mesut Ozil (unseen) scored during the Group D first round 2010 World Cup football match Germany versus Ghana on June 23, 2010



Germany's midfielder Mesut Ozil (R) celebrates after scoring with Germany's midfielder Bastian Schweinsteiger (C) during the Group D first round 2010 World Cup football match Germany versus Ghana on June 23, 2010 at Soccer City stadium in Soweto, suburban Johannesburg.



Germany's midfielder Mesut Ozil (L) celebrates after scoring as Ghana's midfielder Kwadwo Asamoah looks on during the Group D first round 2010 World Cup football match Germany versus Ghana on June 23, 2010 at Soccer City stadium in Soweto, suburban Johannesburg.
 


Ghana's goalkeeper Richard Kingson (C) misses a kick from Germany's midfielder Mesut Ozil (behind him) during their Group D first round 2010 World Cup football match on June 23, 2010 at Soccer City stadium in Soweto, suburban Johannesburg.










Germany's striker Lukas Podolski (R) fights for the ball with Ghana's midfielder Kwadwo Asamoah (L) and Ghana's defender John Paintsil
 
Tukiacha masikhara na ushabiki pembeni, goli la huyu mturuki ni tamu kwa kweli.
 
Mkulu Bill Clinton anawaza "mbona kamati ya ufundi imenitupa"...:biggrin1:...Nimemkubali kama shabiki wa soka!


 
Miafrika kweli ndivyo tulivyooo!!!!.... :biggrin1: :biggrin1: :biggrin1:

 
jamani kwani beckham kwenye benchi la wanywa chai anafanya nini?
au kaitwa kama nani hapo?sielewi kabisa
so irritating!!
 
Huyo mtoto wa Pele wa Africa anapiga soka la ukweli
 






Mabingwa watetezi leo lazima washinde ili waingie last 16.....katika mechi za leo kila timu inaweza kuingia last 16 hivyo kufanya mechi hizi ziwe DO or DIE......sikumbuki mara ya mwisho bingwa mtetezi kutolewa grp stage.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…