World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)


hehehe nipo kiongozi! hili kundi nilitaka apite yoyote lakini sio muingereza lakini jabulani lishafanya ujabulani wake.
vuvuzela nimezireserve kwajili ya mechi ya GHANA.
 
Wakuu,

gemu ya USA imekua tamu kwelina si kwetu sie tu. Habari kutoka Whitehouse zinasema mkulu alizuia mkutano wake ndani ya situation room (kuhusu Gen McChrystal) kuangilia zile last minutes na kumbe nd'o jamaa wakafunga. Baada ya hapo huyoo akarudi kuendeleza mkutano.

Soccer kweli limeshafika marekani!!!!
 
Napima bado mzani kama niendelee na ratiba nyingine au niangalie Ghana ikitolewa...bado najitahidi kujiconvince niangalie hiyo mechi.

bado nawasindikiza GHANA waende kuwakilisha Africa,na tukimalizana na ujerumani tunawataka wajukuu wa malkia hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…