World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Heheeeeeeeeeeeee..........England have made it......Hongera zao
 
goaaaaaaaaaaaaal usaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


Nilikuambia hii nd'o gemu ya kuangalia.....acha utani mazee!!!!!!

YES WE CAN...Wapi Obama sasa....:dance::dance::dance:

Jamaa wa Algeria anakula Red card dakika za nyongeza!
 
Am happy sasa............Safi sana US...Safi sana Donovan......Hureeeeeeeeeeeeee
 
ni good news kwa GHANA kama atapenya , wote wawili wanafungika hawa.
 
nilisema DEFOE ATAKUWA HERO........................
 
hawa wazungu wanatuzarau kweli, hivi wanavyopanga next mechi ,hata GHANA hawaitaji ,ni kama kwamba washaitoa kabla gemu hehehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…