World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)


Ni Kweli kabisa SA wana wanajituma, nafikiri hata cameroon pamoja na kutolewa naona kama walijituma ila mambo hayakuwa mazuri kwao, lakini hizi timu nyingine, utafikiri wamelazimishwa kwenda kucheza.
 
hawa wafaransa kulinda usalama mie naona bora kila mtu aondoke kivyake south africa la sivyo tutakuja kusikia mengi kwenye media.
 
jamani mbona kama namsikia mtangazaji anasema south afrika itaingia ikiwa mexico itafungwa na yeye ikishinda 4-0?

ili south africa aendelee anahitaji goal difference ya 4-0 in his favour katika hizi mechi mbili,ideal situation ni mexico afungwe 2-0 na south africa ashinde 2-0,unaweza kuona hapo gd=4 in favour to SA......au mexico wafungwe 1-0 na SA washinde 3-0,natumaini umenielewa.
 
Naona South Africa wameanza wazimu wa Ghana wa kupiga mishuti bila sababu wakati kuna mtu kulia alikuwa ana overlap vizuri tu.
 
Dah...............Leo nimemiss vingi............Majukumu haya bana..aaaaaaaaaaaaaaaargh
 
Jamani mmeokodolea luninga...tupeni raha ambao bado tunakomaa maofisini basi...acheni kubana bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…