Workshop ya Wabunifu wa vifaa vya Electronics kwa mwaka huu

Workshop ya Wabunifu wa vifaa vya Electronics kwa mwaka huu

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,640
Workshop ya electronics mwaka huu itafanyika kuanzia Tarehe 15 June 2015.

-Mafunzo yatatolewa juu ya ubunifu wa vifaa vya kielectronic vyenye mifumo ya kidigital.
-Itahusisha uundaji wa vifaa mbali mbali vyenye mifumo ya kidigital ambavyo vinasoko katika jamii yetu inayo tuzunguka.

MADA ZITAKAZO FANYIWA KAZI

1. Ubunifu na Ufungaji wa mifumo ya kidigital ya kucontrol kiwango cha joto,unyevu unyevu au baridi katika Mashine mbalimbali za umeme kama vile mafriji,incobators na mashine za kukaushia mboga mboga na matunda (Itahusisha upachikaji wa LCD screen katika vifaa hivyo ili kuonyesha mwenendo mzima wa kiwango cha mabadiliko ya variable flani kwa kifaa husika.)

2.Uundaji wa digital security system

3.Uundaji wa stabilizer maalumu zenye uwezo wa kukabiliana na matatizo ya umeme mdogo(Automatic Low Voltage Booster ALVB)

4.Uundaji wa Digital Solar charger control unit with lcd screen.


Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Tansistor 0657-115587.

Au tembelea blog hii HAPA
 
Itafanyikia dar,eneo na venue itakapofanyikia bado kwa sasa hadi pale tutakapo jua idadi rasmi ya member watakao shiriki,hivyo endelea kuwasiliana na sisi.
 
Back
Top Bottom