Workmate anadai katembea na mchumba wangu

Tandika ujauzito tu atanyooka ..........tena mfululizo kama mpember.................ukishampa watoto kama wanne hivi atakuwa na akili ya kiutu uzima kidogo
 
Mkuu umezngua sana, marafikizo wanakupa taarifa za kiintelijensia halafu bila aibu unawashtaki kwa hilo zungu lako. Na utachapiwa sana maana hakuna namna nyngne sasa
 
Open relationship 😀
Wazungu mh hata sishangai
 
Uyu jamaa kamaliza kila kitu, yaan we umekaa na wazungu ata uwajui, usituaibishe bhana, wale wana tifanya cye sex toys na wanajuaga mna washobokea
 
Mh, nasikia wazungu wanapenda sana nyeusi jombaa....!
 
Wewe ulimpataje wenzako washindwe?

Kula uliwe.
 
Mnavuozungumzia wazungu as if ni mtu mmoja. Mkiambiwa wanaume hivi mlalamika kuwa wanawajumuisha. Mdada kakuambia muite huyo anayedai katembea naye muongee mkiwa watatu mbona unasita? Hii ya kusingiziwa kuwa umetembea na fulani inatokea sana hasa kwenye male dominated fields. Ilishanikuta, mwingine anasema kabisa fulani ana kovu sehemu fulani ilhali huna. Hivyo search your heart, peaneni muda na mambo yatakaa sawa baadaye. Unaweza acha mke mzuri kwa ajili ya story za kijiweni, wengine wanajuta.
 
Uyu jamaa kamaliza kila kitu, yaan we umekaa na wazungu ata uwajui, usituaibishe bhana, wale wana tifanya cye sex toys na wanajuaga mna washobokea
Naona experts wa wazungi mko wengi kweli.
 
Hahaha ni wazungu mkuu, kuna kitu inaitwa sex tourism, ata uki google tuu una pata kwa apo mi ni expert kw kwli
kwa hiyo kila 'mzungu' anafanya sex tourism? Google pia medical tourism, business tourism Mr Google Expert
 
Kilichokuchanganya ni rangi??? Mbona hata wasichana wazuri hapa wapo? Kama unajipenda achana na huyo binti.

Nina ndugu dr mtu mzima alioa mzunguu na ndoa wakafunga, wakazaa watoto wawili, wakarudi bongo walipofika binti kawa kiruka njia, kila bar anaijua club zote anazijua, kakutana na wazungu wenzake, siku moja dr yupo bongo mzungu akifunga vituuuuuuuu vyoooote akahamia kwa mzungu mwenzie, dr ameishi mwenyewe miaka 8 uzee unaingia ndo anajipanga kuoa mweusi mwenzie. Stuka kama unajipenda.

Una moyo wazungu wanavyonuka midomo umevumilia? Pole sana
 
Nina kaka yangu MTZ alikuwa anakaa ulaya akaja akaoa MTZ mwenzake akarudi ulaya. Baada ya miaka 10 wakarudi TZ. Mwanamke si akaanza kujirusha na waswahili. Yaani kaka yangu hana hamu. Ilibidi waachane. WATZ sio watu kabisa
 
Daaah mkuu!!!, hakuna concept duniani inakuwa kweli kwa kila mtu , ila hyo kitu ni ya kwa wazungu wengi
Na concept ya wanaume wakitanzania ni wachafu (hawawezi kuwa na mwanamke mmoja) ikoje?
 
Wazungu kumtunikia mwanaume mechi ya kirafiki for funny ni kitu cha kawaida kwao..
 
Na concept ya wanaume wakitanzania ni wachafu (hawawezi kuwa na mwanamke mmoja) ikoje?
Si wote tumia neno baadhi, mbona wanaume wasafi na tunaoheshimu ndoa zetu tumejaa tele..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…