sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,098
- 8,727
Wanajamvi habari zenu?
Jamani niliwahi toa uzi kuwa vibali vya kufanya kazi Tanzania vinasababisha ukosefu wa ajira nchini.
Hivi majuzi rafiki yangu yupo China kimasomo, kaniunganisha na wachina fulani ambao bado wapo sekondari nchini mwao China, ila kwa sasa wapo field, aliunganisha nao maana walitaka wakimaliza shule waje nchini Tanzania wasajili kampuni ya kuuza mablanketi.
Jamani hamuwezi amini wale vijana niliwapokea, katika pita pita zao wamekutana na wachina wenzao wana ofisi jengo IT PLAZA mjini, wakaamua kuwa chance, nawashangaa eti sasa hivi wanajiita wote wanavyeo vya umeneja, masoko, wakati hata form three bado?
Wakati kwenye kampuni hiyo ina washikaji nimewakuta, wana mpaka digrii za bongo, lakini ni sales agents tena wanalipwa commision, na hawa wachina mi niliwakimbia kuwashugulikia vibali maana nilijua wakivipata watawanyanyasa wabongo. Sasa hivi wana vibali vya kazi hiyo tayari, hii ni aibu sanaaaa.
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Mheshimiwa Jenista Mhagama hebu ongea na watu wako waache rushwa, mbona wanatoa vibali kwa watu wasio na vigezo bhana?
Naomba nipite ila ujumbe ufike hata kama upo bungeni soma uzi huu.