Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,295
wadau tusaidiane,hizi nafasi za kazi zinazotangazwa kila siku vijana wengi wana qualification lakini working experience inayohitajika ni too much jamani,eti unakuta working experience 6-8 years,sasa sisi freshers from school tutapata wapi kazi kama mambo yenyewe ndo hayo?wazee wataajiriwa vijana tutabaki mitaani tu na kujiajiri wenyewe