Wondering: how does crying work?

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
127
How does crying work?

You are so much emotional, yet you feel so much better right after crying!!

It’s amazing how emotions (sadness, happiness, anger, joy, relief, and confusion) are tremendously released when we cry.

JF Doctor, kuna ufafanuzi wowote wa kisayansia?
 
QM crying doesn't work for everyone lakini, wengine mpaka uharibu kitu kwa kutumia force, ku-yell, punch a concrete wall, sleep over it and wake up feeling much better. They all basically just release tension...
 
Sawa. Lakini utakuta wengi wa hao wanaoharibu na kurusha vitu wanaishia ku-breakdown na kulia at the end. Na unakuta baada ya kulia, wengi ushikwa na usingizi mzito sana. Ni mpaka wanapoamka ndipo ujisikia vizuri.

Kwa hiyo utaona kuwa kulia ndio kunatoa/punguza tension. Hizo vurugu za mangumi ya ukutani ni kama dalili za kulia AU za kujaribu kuzua machozi yasitoke....lakini yanakuja kutoka anyway
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom