Kwenye mada kama hizi zinatusaidia taaaratiiibu kujua uhalisia wa gendar za membars! Sante "uzi founder"
Napita tu.
hivi ni nini kinatusababisha tuwe fake.....?...sidhani kama tuliamka asubuhi moja na kuanza kuwa fake......
Boys dont get real women
Vipi umekanyaga cha kukustua?
Salimia wazee wamji bwana
wazee wa mji hamjamboooo?
If u havent met a real woman...thats ur problem! Otherwise...not all women are fake.
Napenda kutambua uwepo wako.
Na napokea shukrani zako.
wazee wa mji hamjamboooo?
You dont know why?Girls with fake hair, fake
nails, fake
eyelashes,fake color
skin,fake
boobs,fake eyes and fake ass wonder why they
can't find a real
man???
Aah wazima.
Ntakuibox mama unipe hint flan
Husn! Mmmh hiyo ni salamu au?
ah wot women are fake..they fake orgasm, they fake the colour of their skin, they makes us beliv that they the perfect wives but just not all thatdamn they even fake that they know wat love is
Binadamu wewe ulikua waumwa? Sijakuona pande za mitaa hii kwa kitambo! Au usingizi kwa sana! Haya endeleeni na uzi.
Mh hii statement ina maana bs tu! cjui wameielewa!
Mie nipo tu ndugu yangu.......wala siumwi, heheh samtaim tunapumzika yakhe!!
oooh mammma! (kwa melody ya kisharobaro). Lol
hivi ni nini kinatusababisha tuwe fake.....?...sidhani kama tuliamka asubuhi moja na kuanza kuwa fake......
watanielewaje wakati wamefunga antena badala ya maskio?