Women with high estrogen levels more likely to cheat.....

Kama kuna lots of love around, hakuna mistress yoyote hata daily anaweza! Lkn kuwa na hiyo atmosphere kwenye maisha yetu yaliyojaa utapeli wa kimapenzi na ugumu wa maisha ni ngumu sana!
umeona eeeh mi nakwambia wanawake wanaolalwa daily rate yao ya kucheat ni kubwa ,watu wapeane space jamani kwani raha ni hiyo tu kwenye ndoa? kila siku hapo kwa k tu
sio issue bwana
 
Kipi ni bora sasa?Nitawaogopa wanawake wa aina hii(kama nikiwajua)
 
teh teh teh. naona imefika wakati hio bikra yako itolewe smile. au unataka kuwa sister?
haitolewi tena nimeamua kumfata YESU MY DEAR
SIjaona rafiki kama yeye
sipendi uongo na wanaume wooote wanaokatiza mbele yangu waongo
 
umeona eeeh mi nakwambia wanawake wanaolalwa daily rate yao ya kucheat ni kubwa ,watu wapeane space jamani kwani raha ni hiyo tu kwenye ndoa? kila siku hapo kwa k tu
sio issue bwana

Silipendi hili neno. Inafanya kama vile nafasi ya mwanamke ni gogo tu!
 
Wanawake wengi wanaochiti kwenye ndoa zao ni wale wanaokaribi menopause na ambao wako tayari kwenye menopause(sugar mummies). Japokuwa kuna wasichana wadogo ambao ni vicheche kuna possibility kubwa hawafanyi sababu ya nyege(kutokana na articles nilozosoma kuhusu umri gani wanawake wana ejoy sex zaidi) ila ni pesa na kutumia sex kama kipimo cha uzuri wao (more attactive). Lakini wamama umri unapoenda nyege zinazidi na huku wengi wao waume zao ndo kipindi cha kuugua visukari na BP. Ndo maana wanatafuta viserengeti.

I have been cheated on before. Roho kama inataka kunyofoka unatamani umwekee hata
sumu lakini unamshinda shetani na kusamee ama kusonga mbele. lakini haiweki wingu
akilini kwangu kuona ukweli wa mambo. mwanamke ambae anajua nini anataka kama
kila kitu akipata kwa mumewe kasoro sex. hataachia ngazi na uwezekano
wake wa kucheat ni mkubwa mno. Tunaona mtaani, wake za watu wanacheat,
saa ingine mumewe yupo fit kwenye game lakini bado anatoka. seuz awe hatoshelezwi?
 
najua cause kuna wengine wanafanya daily hapo utaridhika kweli? mimi navojua mtu akitaka kufaidi tunda unatakiwa ukae nyege zijikusanye kama mwezi hvi ukija kujiachia kwa gemu full kulipuka au sivo erotica

Inabidi tufanye utafiti wa kina; some women wakikaa muda murefu ndivyo hamu inavyopungua.
 
Kipi ni bora sasa?Nitawaogopa wanawake wa aina hii(kama nikiwajua)
eiyer mwanamke kamili sio yule anayeweza kukupa na kutamani sex kila siku ndani ya ndoa rafiki
ndoa ni zaidi ya hapo
kuna kutunza familia,kuna kusimama kiuchumi ,na mambo kibao......
 
Smile,leo unasema umeokoka ngoja siku mbili zipite,utakuja na siredi,mara ooh jamaa yangu sijui kafanya vile mara hivi!
 
umeona eeeh mi nakwambia wanawake wanaolalwa daily rate yao ya kucheat ni kubwa ,watu wapeane space jamani kwani raha ni hiyo tu kwenye ndoa? kila siku hapo kwa k tu
sio issue bwana

Hujanielewa Smile; nimesema kama kuna LOTS OF LOVE na no stress! Sasa huwezi kupenda kila mwanaume, hii inahusu mpenzi wako na environment! Halafu uliuliza anaweza kufanya mapenzi ...... na sio normally; jibu nililotoa ni makisio ya juu!
 
Last edited by a moderator:
Smile,leo unasema umeokoka ngoja siku mbili zipite,utakuja na siredi,mara ooh jamaa yangu sijui kafanya vile mara hivi!
eiyer mimi na ngono ni sawa na osama na bush my dear kweli tena mimi ni hanisi wa kike
 
Hujanielewa Smile; nimesema kama kuna LOTS OF LOVE na no stress! Sasa huwezi kupenda kila mwanaume, hii inahusu mpenzi wako na environment! Halafu uliuliza anaweza kufanya mapenzi ...... na sio normally; jibu nililotoa ni makisio ya juu!
provided factors zote zipo constant iyo issue ya daily siafiki
 
Wanawake wengi wanaochiti kwenye ndoa zao ni wale wanaokaribi menopause na ambao wako tayari kwenye menopause(sugar mummies). Japokuwa kuna wasichana wadogo ambao ni vicheche kuna possibility kubwa hawafanyi sababu ya nyege(kutokana na articles nilozosoma kuhusu umri gani wanawake wana ejoy sex zaidi) ila ni pesa na kutumia sex kama kipimo cha uzuri wao (more attactive). Lakini wamama umri unapoenda nyege zinazidi na huku wengi wao waume zao ndo kipindi cha kuugua visukari na BP. Ndo maana wanatafuta viserengeti.

Hili somo limenifaa. sante dada ubarikiwe.
 
Nimeipenda sana hii,chukua tano mama!
 
Hili neno muhimu sana. Sexual maturity (and subsequently sexual appetite) ya wamanume inatokea miaka tofauti na mwanaume. Pia wanawake wengi the more they get the more they want, wakati wanaume wengi wanataka zaidi pale wanapo kikosa.

Pata picha ya mwanaume wa miaka 45, mke wake miaka 35 and they live separately for some reason. Mama anakaa 6 weeks bila, so she needs a long period to get turned on again wakati mume wake anakuja na urge ya muda mrefu bila sex. then mama akisha kua seriously arousen (after 2 or 3 days od good sex) baba anapoteza interest sababu amesha poza ile urge ya mwanzo na pia sababu ya kaumri. then anageuza na kurudi aliko toka. what's next sasa?
 
Kipi ni bora sasa?Nitawaogopa wanawake wa aina hii(kama nikiwajua)

Eiyer, nilimjibu Smile swali lake kuwa mwanamke anaweza kumake love na akafurahia mara ngapi! My point was she can enjoy sex hata kila siku ili mradi kusiwe na stress, na environment iwe so romantic (husband is part of the environment pia). Na Mazingira hayo yako Mbinguni tu, duniani ni full stress; hence mwanamke hawezi enjoy sex daily!

Sasa sijui wewe unataka mdada ambaye anafanya kutimiza wajibu tu?
 
Last edited by a moderator:
Kaunga,so unataka kuniambia hakuna mwanamke anae enjoy sex?Akording to your paspectivu!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom