Women with high estrogen levels more likely to cheat.....

Ndio hapo sasa... Mi naona kama watu wanajitafutia sababu tu.
Umeona suali la Binti Maringo? What about men who cheat? Pia kuna wanawake hawana mvuto sana (kwa macho yangu)
Ila unakuta they cheat too. Hapo research hii inasemaje sasa?

Hizi interpretation za research hasa za wamarekani, mimi huwa nina reservation nazo sana tu!

Si ajabu; results zinasema watu wenye estrogen nyingi wako more active sexually; waoh wakahusisha na cheating!
 
Hivi ukiwa aktivu sexually na una mume hawezi kazi kuna kuepuka cheating hapo?
 
Hivi ukiwa aktivu sexually na una mume hawezi kazi kuna kuepuka cheating hapo?

Hivi cheating ni pamoja na masturbation?
Unaweza cheat, au ukawa woman enough na kumuacha na kumtafuta mwingine ambaye mko same level!
 
Hivi cheating ni pamoja na masturbation?
Unaweza cheat, au ukawa woman enough na kumuacha na kumtafuta mwingine ambaye mko same level!

Kua woman enaf kumuacha mume katika ulimwengu wa ndoa za kidini hasa kikristo ni ngumu kumeza.
mwanamke ambae yupo hasa active ki sex, masterbation hata aki cum ni kama warm up.
akae na mwanaume hamuwezi siku zote akitegemea masturbation kutereza ni rahisi.
 
Kupo sana tu, unamsaidia afikie kiwango ikishindikana kabisa na hilo swala unajua ni muhimu sana kwako unaomba talaka.

mwanaume ambae hawezi hawezi tu! ukilazimisha utaishi mada case.
Kwa hio unakubaliana kua ni kuachia ngazi. Kwa ndoa ambazo zimeunganishwa zaidi na
mambo mengine ambayo sio sex inakuaje?
 
mwanaume ambae hawezi hawezi tu! ukilazimisha utaishi mada case.
Kwa hio unakubaliana kua ni kuachia ngazi. Kwa ndoa ambazo zimeunganishwa zaidi na
mambo mengine ambayo sio sex inakuaje?
Kama sex haina kipaumbele basi uvumilivu na kusaidiana kunahusika sana ndio maana nikasema kama sex sio muhimu sana(yani sio namba moja) mnaweza mkaendelea kusiwe na kucheat. Ngoja Baba Ashrat nae aje aweke senti zake hapa nijue anachukuliaje hili swala. Usikute mwenzangu siku perfomance ikishuka tu ndio nimempoteza.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye bold ili iweje WoS; zipungue au ziongezeke; maana watu washaona zimekuwa tabu.

Ndugu yangu weee usijipe presha ya bure!Ukishajua ana high levels utashusha au?? not everything that is said is of universal application jamani.So dont get paranoid about this estrogen thingy!
Mark you, even low estrogen levels can cause huge problems -memory loss,mood swings,thinning of skin and hair,low bone density,lsagging of breasts,loss of libido etc.

Kwa faida ya wenye kutaka kujua zaidi - estrogen huwa inapungua kufuatana na umri unavyoongezeka.Hivyo wanawake wanashauriwa kula vyakula vyenye virutubisho vya kutosha haswa calcium,wale matunda na mbogamboga kwa wingi,na kufanya mazoezi.
 
Kua woman enaf kumuacha mume katika ulimwengu wa ndoa za kidini hasa kikristo ni ngumu kumeza.
mwanamke ambae yupo hasa active ki sex, masterbation hata aki cum ni kama warm up.

Najua, lkn kuliko kutokuwa mwaninifu ni bora kuachana. After all cheating peke yake ni anti-Christian. Kumuacha mume ni kumpunguzia maumivu ya lifetime, kwa kumpa maumivu say ya Mwaka mmoja!

Bwana sijui kuhusu mtu aliye hyper, lkn normal sexual active; unacome hata kwa vitu kama licking, fingering etc kwa huyo huyo mwanaume ambaye libido yake ni ndogo. Ni swala la kuelewana tu!
 
Erotica na Kaunga, nimepekua archives za JF na nimepata a case where the man is not performing, Mwanamke was. Ndio case mentioned on the first page of this thread. Ila naona dada kaja na ubunifu mzuri tu, wala sio cheating. please find her case here: https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/22204-m-o-artificial.html

I concur with njia aliyokuja nayo; unajua ndani ni kufichiana mapungufu, so ni swala la kumshirikisha mume (kibusara) bila kuharibu zaidi (kumfanya apoteze hata kidogo alicho nacho, au kuingiwa na wasi wasi wa kuachwa). Nimependa mchango wa BAK kwenye link hiyo!
 
Last edited by a moderator:
There are many reasons why women cheat and this might just be one of them. Others might include financial problems, "rushwa" kwenye kutafuta kazi na hata kwa wanafunzi vyuoni kutafuta marks za "chu**".
 
Kama sex haina kipaumbele basi uvumilivu na kusaidiana kunahusika sana ndio maana nikasema kama sex sio muhimu sana(yani sio namba moja) mnaweza mkaendelea kusiwe na kucheat. Ngoja Baba Ashrat nae aje aweke senti zake hapa nijue anachukuliaje hili swala. Usikute mwenzangu siku perfomance ikishuka tu ndio nimempoteza.

Sina mana kua sex sio muhimu. Nina mana kua kama kuna ya muhimu zaidi yanayounganisha
ndoa hivo kama mtu wa namna hio ni active katika sex ndio hapo uwezekano wa kucheat unapokuwepo.
sababu anajua kuachia ngazi hawezi na kufikishwa hawezi. soln itakua kutafuta ufunumbuzi kwa
kipengele hicho cha pili. hico uwezekano wa kucheat mkubwa.
 
Najua, lkn kuliko kutokuwa mwaninifu ni bora kuachana. After all cheating peke yake ni anti-Christian. Kumuacha mume ni kumpunguzia maumivu ya lifetime, kwa kumpa maumivu say ya Mwaka mmoja!

Bwana sijui kuhusu mtu aliye hyper, lkn normal sexual active; unacome hata kwa vitu kama licking, fingering etc kwa huyo huyo mwanaume ambaye libido yake ni ndogo. Ni swala la kuelewana tu!

Nomo active can ovakam hilo tatizo. hapa ni yule ambae yupo hyper. refer post #37 hapo inakuaje?
 
Nomo active can ovakam hilo tatizo. hapa ni yule ambae yupo hyper. refer post #37 hapo inakuaje?

The best option; kama hata madildo hayatoshi. Ni kuend marriage, na kumtafuta hyper mwenzio!

Au, kubadilisha professional badala ya kuwa wife; unakuwa professional sex worker; hapo u earn money, while satisifying ur hormonal needs! LOL
Better hii kuliko cheating; BTW Erotica, unayajua maumivu ya kuwa cheated na mtu unayempenda?
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom