Women Who can't handle their drinks

hadi wanawake wengi wanaopigwa mtungo ni style ya kuangusha gari
 
Umejikumbusha dem alilewa eti anajifanya "amenipenda" ghafla... wakati namshangaa sijui hili wala lile nukaona mtu anakwanda flat right under my legs... mbaya zaidi alikuwa mke wa mtu
 
ukiona mtu kalewa chakarihajjielewi kisa pombe ujue ama za offer hizo so alikuwa haamini au mgeni kwenye sector hiyo alafu alitaka awaonyeshe watu kwamba na yeye ni mwenyeji.matokeo yake anaenda hatua mbili mbele tano nyummba alafu anajipongeza
 
ila Karucee my dear ungetoa walau scenario moja iliyokugusa wewe na jinsi gani pombe imekuaibisha nahisi ingesaidia sana
 
Last edited by a moderator:
Karucee of all the days leo umenikoshaa.......being a big guy myself I've had to carry lots of girls to safety coz ya overdrinking......and of course....some shetani alinipitia....
They just become too damn inviting when drunk, I swear!
 
Last edited by a moderator:

Personally, I dont date women who drinks, labda nisijue na nikijua itakubidi tu uache or else tuachane.

Nimeshaona kesi nyingi sana za wanawake kufanyiwa mambo ya ajabu wakiwa wamelewa, wengi wamebakwa na marafiki na wengine mpaka wameliwa TIGO kwa ulevi tu. Halafu me sinywi pombe we utakuwa unakunywa na nani?

Acheni niitwe mshamba tu
 

umeona eeeh
 
Mma weeee! Sijawahi kumshauri mtu anywe pombe!!

AKija kuharibikiwa?
Eli79 na miss neddy wabaki hivyo hivyo. Don't ever drink. Your life will not end if you don't.

thank you dear maana pombe ya kuijulia uzeeeni ni shiiiiida yaweza kumpeleka mtu siko wallah
 
Last edited by a moderator:

I must say..u can really write a pretty story. Educative and relative! Well put
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada hapo juu nina swali kidogo kwako. Hivi baada ya huyu demu kuanguka na kujinyea, kulikuwa hakuna jamaa wa kuvuna kisamvu hiyo sehemu? Dahhh, nina hasira kweli maana umesema too late. Ni sehemu gani ilikuwa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…