Mimi ni Mwanaume kamili na ni binadamu nisiyeendekeza chuki na binadamu mwenzangu.Umesema mwenyewe umeishia Simiyu na Dar. Usibadilishe story hapa.
Na hata kama si kweli.
That's even worse.
Inawezekana una chuki binafsi na wanawake.
Jitafakari sana. Jambo hili linaweza kukufanya uingie kwenye ushoga.Ukivhukia wanawake ndiyo mwanzo wa kutaka wanaune huo.
Habari ambayo mnaichukia sana.
Hutakiwi kunilazimisha niheshimunutu wako wakati wewe mwenyewe hujui kuheshimu utu wa watu wengine, wanawake.
Unawalundika wote fungu moja kwa kuangakia wachache uliokutana nao wewe.
Wewe kama ni mshamba, nitakuambia wewe mshamba tu. Ukweli ni ukweli, hata nisiposema utabakia kuwa ukweli. Bora niseme ujue.
Mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Mimi ni Mwanaume kamili na ni binadamu nisiyeendekeza chuki na binadamu mwenzangu.
Umenikosea heshima kuandika kusema kwamba nina chuki na Wanawake tena umefikia hatua ya kuniambia nitakuja kuwa Shoga, Aisee umenikosea heshima sana we Mzee.
Naheshimu mawazo yako lakini suala la kuwa unatuletea dharau kwa sababu hatujatembea duniani hup ni USHAMBA Pro.
Asante Mzee 😀 wakati mwema, sijui upo jambo gani huko
Wewe chuki zako za dhidi ya wanawake ukiziendeleza hivi polepole utakwenda kwenye ushoga tu.Mimi ni Mwanaume kamili na ni binadamu nisiyeendekeza chuki na binadamu mwenzangu.
Umenikosea heshima kuandika kusema kwamba nina chuki na Wanawake tena umefikia hatua ya kuniambia nitakuja kuwa Shoga, Aisee umenikosea heshima sana we Mzee.
Naheshimu mawazo yako lakini suala la kuwa unatuletea dharau kwa sababu hatujatembea duniani hup ni USHAMBA Pro.
Asante Mzee 😀 wakati mwema, sijui upo jambo gani huko
Sijajua Mkuu Yawezekana siku tukaonana nasikia naye ni Msukuma huyu. Kuna watu humu kama Rev Masanilo alivyokuwa akiandika unaweza ukasema ni mjinga fulani.Nimecheka sana hapo anasema, wewe huwezi onana nae zaidi ya hapa JF. Kuonana nae ni "privilege".. 😆
Huyo binti ndiyo wale wale msiokuwa na passport.We Mzee Kiranga, soma hii imeandikwa na huyu binti hapa 🤣
Mkuu tafadhari, halafu Yawezekana nikawa ni sawa na mwanao lakini hayo maneno ya USHOGA kwa mzee kama wewe kumwandikia kijana kama Mimi hayana maana wala faida yoyoteWewe chuki zako za dhidi ya wanawake ukiziendeleza hivi polepole utakwenda kwenye ushoga tu.
Utapata mtihani ama ukubali wanawake ama uende kwenye ushoga.
Na hapo chuki dhidi ya wanawake zikizidi, unaenda kwenye ushoga.
Utajuaje Mkuu hatuna passport?Huyo binti ndiyo wale wale msiokuwa na passport.
Kashafundishwa tangu mtoto kuwa yeye ni sawa na ng'ombe kadhaa atakaolipiwa mahari kuolewa, unafikiri ataandika nini?
Sijajua Mkuu Yawezekana siku tukaonana nasikia naye ni Msukuma huyu. Kuna watu humu kama Rev Masanilo alivyokuwa akiandika unaweza ukasema ni mjinga fulani.
Aisee niliwahi kutana naye pale NSSF HQ kulikuwa na Bar inaitwa JB Bellmonte, ni Dr wa Hospital kubwa huko Uingereza na duniani halafu alikuwa anachukua PhD. Kimsingi huwezi ukamhukumu mtu kwa mawazo yake na maneno yake yawezekena hii ikawa ni fursa pia 😀
Ukweli ni ukweli tu.Mkuu tafadhari, halafu Yawezekana nikawa ni sawa na mwanao lakini hayo maneno ya USHOGA kwa mzee kama wewe kumwandikia kijana kama Mimi hayana maana wala faida yoyote
Haya ni mawazo ya watu wasio na passport. Na kama mnazo that's even worse kwa sababu hamjazitumia, hamna tofauti na watu wengiwasio na passport, na wenhine wanawapita kabisa.Utajuaje Mkuu hatuna passport?
Halafu maisha yetu ni Kivyetu vyetu hatuumizi sana vichwa
Mzee wa ad hominem fallacy unashambulia sana 🤣🤣. Huyu jamaa kafanyia utafiti wake mitaa ya Kigogo, Mburahati Madoto, Manzese na baadhi ya maeneo ya Mabibo. Hiyo mitaa kujua yupi muuza papuchi yupi hauzi ni suala gumu sana. Inabidi aende huko KUMAMOTO akatafiti pia.Wewe ndiye unachanganya generalization na uhalisia.
Ukishasema "wanawake wako hivi" tu, chances are, unless you are talking about a very narrow undisputable biological fact, ambazo hata nazo siku hizi zinakuwa challenged, ushakosea.
Kwa sababu wanawake wako wengi sana na wengi sana ni tofauti. Na kuna tofauti nyingi sana katika tamaduni tofauti za dunia.
Ushafika visiwa vya Fiji na Vanuatu na Marshall na Tahiti na Faroe na kuchunguza wanawake wa dunia nzima kujua hayo mambo unayoyasema ni ya wanawake ni ya wanawake kweli, na si ya utamaduni fulani, umasikini fulani, ulio katika jamii inayokuzunguka tu?
Ushakuwa na wanawake wa Finland, Norway, Sweden, Denmark kuhakikisha hizo tabia unazosema ni za wanawake kweli, si za wanawake wenu masikini wa Kiswahili tu?
Ushakwenda kula bata Ulaanbaatar na kujiridhisha wanawake wa huko nao wako kama unavyosema?
Ushafika Kumamoto na kujua wanawake wa huko wakoje?
Ushafika Surabaya na kuangalia huko wako vipi?
Ushafika Novaya Zemlya kujua wanawake wa huko wana tabia gani?
Au umezunguka kijijini kwako tu na kuhitimisha wanawake wote wanaongea Kinyakyusa, kwa sababu tu wanawake wa kijijini kwako wanaongea Kinyakyusa?
Huelewi vipi kuwa wewe ndiye umefanya generalization hapa?
Huyu hana hata utashi wa kujua Kumamoto ni nini.Mzee wa ad hominem fallacy unashambulia sana 🤣🤣. Huyu jamaa kafanyia utafiti wake mitaa ya Kigogo, Mburahati Madoto, Manzese na baadhi ya maeneo ya Mabibo. Hiyo mitaa kujua yupi muuza papuchi yupi hauzi ni suala gumu sana. Inabidi aende huko KUMAMOTO akatafiti pia.
Mzee usinichukulie mimi kizembe hivyo 🤣 Kumamoto ni jiji lipo Japan huko, kwa taarifa yako kuna Mjapan miaka fulani alikuwa anaingia kwenye ring lakini nikaamua kumpotezea tu.Huyu hana hata utashi wa kujua Kumamoto ni nini.
Anaeleaelea tu na kubiringita kwa reflex action kama guluguja asiye na ubongo wala uti wa mgongo.
Nani hana passport Mkuu ?Haya ni mawazo ya watu wasio na passport. Na kama mnazo that's even worse kwa sababu hamjazitumia, hamna tofauti na watu wengiwasio na passport, na wenhine wanawapita kabisa.
Ukishakuja JF tu umeshindwa kuishi "kivyetuvyetu".
Wewe mshamba tu umesema mwenyewe mitaa yako Simiyu na Dar.Mzee usinichukulie mimi kizembe hivyo 🤣 Kumamoto ni jiji lipo Japan huko, kwa taarifa yako kuna Mjapan miaka fulani alikuwa anaingia kwenye ring lakini nikaamua kumpotezea tu.
Sina ushamba wala ufala kama unavyonifikiria hapa jamiiforums