Luna79
JF-Expert Member
- Sep 4, 2026
- 542
- 1,548
Akiacha kwamba kafariki au kakosa? Tulianzia chini sana na sasa tunamshukuru Mungu tupo mahali angalau sana tu. Kwahiyo hata ikitokea tumeshuka basi tutapambana tena na tena. Nampenda sana na analijua hilo.Najua hata wewe hujui kama umempenda au lah, na kuahidi hicho kitu anacho provide siku akiacha ndo upendo nao utaisha