Women do not love you

Itabidi umzowee. 😊
He's so famous here for speaking his mind and standing his ground. Sio kitu kibaya, ndio uhuru wa fikra wenyewe. Kikubwa ni kuheshimiana kifikra na kimawazo na mwisho wa siku kila mtu akabako na anachofikiri ni sahihi.
Kweli itabidi kumzoea lakini anaongozwa na hisia sana huyu Mzee

Uhalisia wa life letu hapa Tanzania analijua kweli ? Hata kama una muonekano mzuri lakini kama pochi imenuna automatically kujiamini kunapotea na hata Wanawake wa hapa kwetu bila chochote utaishia kuwaangalia tu .
 
sure, but i dont real think its about every woman
 
Kama wanawake hawapendi wanapenda chapaa kwa nn kuna mafukara kibao hawana mbele wala nyuma ila wana wapenz wao na ukiwakuta wanapetiana aibu unaona ww na hela zako... na bado una hela ila mapenzi yanakuchapa mpaka unasema nimekoma 🀣🀣
Hii comment iheshimiwe.
 
Anzia juu huko Babu, huyu Kiranga hajui uhalisia wa maisha ya mahusiano hapa Tanzania hasa kwa umri wetu huu kuanzia 25 mpaka kukaribia 40
Kiranga ameishi Tanzania kidogo na abroad kwa kipindi kirefu

Kule alipo, wana ipractise 50/50 kiufasaha kuliko huku kwetu

Kule unatoka Dinner na mpenzi wako, lakini mhudumu akileta bill ya chakula na vinywaji wote mnachangia

Kama bill imekuja dollar 50, basi ke atatoa dollar 25 na me dollar 25

Huku kwetu out moja tu, utatobolewa mifuko hadi ukome kutoka out na watoto wa watu πŸ˜…
 
Tatizo mimi najadili hoja, wewe unanijadili mimi.

Kabla ya kujadili mwanamke hivi na vile, kwanza una passport wewe?

Mwenzako nimemwambia asihukumu wanawake wakati hata Nairobi hajafika.

Hajapata poa Goa.
Hajaona ibilisi wa Tbilisi.
Hajaona malaya wa Himalaya.
Hajaona wazuri wa Surabaya.
Hajapata tetemeko la ardhi Kumamoto.
Hajajikana Punta Cana.
Hajamwaga hela Venezuela.
Hajatumia akili Brazil
Hajamwaga vina Argentina
Haja chill Chile.
Hajalia Australia
Hajatoka nduki Uturuki
Hajakunywa bia Zambia
Hajajiuzulu kwa Zulu
Hajavunja sheria Liberia
Hajaona maiti Haiti
Hajampata Rasta Madagascar

Unawahukumu vipi wanawake ikiwa wanawake unaowajua ni wa dunia ndogo tu inayokuzunguka, huna sample space kubwa ya kufanya conclusion yako iwe na statistically relevant sample space, unajuaje matatizo unayoyasema ni ya wanawake, ni ya wanawake kweli au ni ya utamaduni na umasikini wa kwenu tu?

Huja engage na hoja unamjadili Kiranga kwa ad hominem logical fallacy.
 
,,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unashida mkuu. Kutembea sana au kuishi kwingi sio hitimisho kuwa una wajua wanawake.

Kwanza ni ujinga kuanza kutambiana sijui umefika wapi
 
Anzia juu huko Babu, huyu Kiranga hajui uhalisia wa maisha ya mahusiano hapa Tanzania hasa kwa umri wetu huu kuanzia 25 mpaka kukaribia 40
Tatizo maelezo yako ya kulaumu wanawake uzoefu wake umeishia Tanzania.

Hapo huoni tatizo?
 
Tatizo maelezo yako ya kulaumu wanawake uzoefu wake umeishia Tanzania.

Hapo huoni tatizo?
Tatizo unalo Mzee wangu !
Sijalaumu mwanamke lakini nilichokiandika ndio uhalisia wa mambo yalivyo, hata kama ningezunguka dunia zote bado haiondoi ile hoja ya kwamba Mwanamke bila kuwa na kitu hawezi akakukubali lakini wewe umeamua tu kuleta hoja ambazo hazina faida yoyote ( Kejeli, majivuno na majigambo) huu sio uungwana Mzee.
 
Unatunia Hasty Generalization Fallacy na Fallacy of Composition.

Ningekuonesha kosa lako, lakini tatizo wewe ni mjinga hujui mambo, huijui dunia, halafu mbishi hukubali kujifunza.

Naweza kubishana na mtu mjinga anayeweza kujifunza.

Naweza kubishana na mtu mbishi, anayejua mambo, pengine atanifundisha nisichokijua.

Lakini, siwezi kubishana na mtu mjinga mbishi.

Yeye hajifunzi kutoka kwangu (kwa sababu ni mbishi), mimi sijifunzi kutoka kwake (kwa sababu yeye ni mjinga).

What's the point?
 
Mbona maneno makali we Mzee ?
Unachokiandika kwenye huu uzi haliendani na uhalisia wa maisha yetu, Jamii ya Watanzania halafu rudi tena soma post # 15 mbona nilieleza vizuri tu ?

Nakuona unaleta ukoloni na ubabe mpaka hapa ? 🀣 Ingekuwa ni face to face si unaweza hata ukampiga mtu risasi ?
 
Hata hayo maisha yenu Watanzania unaongelea Watanzania masikini wasio na elimu washamba.

Kwa hiyo usiseme wanawake wako hivi.

Sema wanawake Watanzania masikini wasio na elimu washamba wako hivi.

Na hayo matatizo unayoyaona ya wanawake mengine si ya wanawake, ni matatizo ya utamaduni.

Huko Tanzania mnawanunua wanawake kwa ng'ombe mkiwaoa. Mshawajengea utamaduni wa kujiona wao ni bidhaa ya kununuliwa.

Tangu mtoto mdogo mwanamke anajiona yeye ni bidhaa ya kununuliwa.

Kiutamaduni.

Sasa hapo mwanamke akijiweka kimaslahi zaidi, kutaka kuhudumiwa, kupewa pesa, kununuliwa, unaweza kuona wanawake ndivyo walivyo.

Kumbe hilo ni suala la utamaduni mliojiwekea nyie wenyewe, si suala la wanawake.

Kwa sababu, kuna sehemu nyingine wanawake hawako hivyo.

Ndiyo maana ni muhimu uijue dunia kabla ya kusema wanawake wako hivi. Huwezi kutumia mifano ya wanawake wako washamba wa Simiyu na Dar halafu ukahigimisha wanawake wote wako hivi au vile.

Mimi siku nyingi sana niliwahi kutongoza mwanamke, tena mweusi, Mmarekani. Hapo New York City.

Katika kumtongoza nikataka kumtoa out dinner. Akasema angependa twende out dinner, lakini anaona vibaya kwa sababu hana kitu. Sasa mimi kidume wa Kiaffika nikaona aah, hilo mbona jambo dogo tu, nitalipa kika kitu. Nitakuja kukuvmchukua ulipo, nitakupeleka dinner, nitakulipia kila kitu, halafu nitakurudisha kwenu.

Akanishukuru, akasema mimi ni mkarimu sana, ila yeye ana kanuni yake hawezi kwenda sehemu bila ya kuwa na pesa yake mwenyewe kujilipia yeye mwenyewe.

Yule mwanamke alinifikirisha sana. Nikafikiri ingekuwa wanawake wetu wa Uswahilini wasio na kanuni za kifalsafa kama hizi mbona ndiyo kwanza angefurahia sana offer hiyo.

Sasa hapo uaweza kuona utamaduni aliokulia huyo binti umemjenga hivyo, apende kujitegemea, asiwe tegemezi kupita kiasi cha kawaida cha kutegemeana kwenye mahusiano.

Sasa kama umezoea kukutana na wanawake low class wa Simiyu na Dar, unaweza kuwahukumu wanawake wote ukifikiri tabia za hao wanawake wako low class ni tabia za wanawake wote.

Wakati hata hapo Dar Oysterbay na Masaki kuna watoto wa kishua mimi nawajua hawana matatizo yenu, wanaishi katika ma continent tofauti, wana majumba Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Mbezi Beach na Mbweni, wametoka kwenye tamaduni zetu, na wanaziheshimu, lakini wameupita ushamba wa tamaduni zetu.

Wewe unafanya Hasty Generalization Fallacy na Composition Fallacy.

Unafikiri kwa kuwa wanawake unaowajua wewe ni washamba, basi wanawake wote ni washamba.

Kuhusu face to face wewe huwezi kukutana na mimi nje ya hapa JF.

Kukutana na mimi hapa JF ni privilege kubwa sana kwako, na face to face sehemu ninazopita mimi wewe huwezi fika, ila hujajua tu.
 
Mzee ningekuomba uachane na huu uzi, halafu kwa taarifa yako sina ushamba kama nilivyoandika hapo nikiwa kwenye age ya 21 tayari nilikuwa na demu wa kizungu, na nilishawahi kumla mtoto wa jaji fulani tena nikamtoa bikra kabisa. Na nimeshazunguka baadhi ya sehemu ambazo standard ya maisha ni ya kuridhisha, hii mada jibulake lipo lwenye comment #15.

Halafu HESHIMU mawazo ya watu na wewe utaheshimika tu, kutolea mifano ambayo inashusha thamani ya utu wangu hiyo ni DHARAU kubwa sana.

Kama mjadala unakushinda unaweza uka unsubscribe ukaendelea na mijadala mingine, haona haja ya kuendelea kuandika maneno yenye kushusha hadhi na utu wa mtu
 
Kile unachochagua kukiamini ndicho akili yako inachohangaika kukitafuta na kukithibitisha (Confirmation Bias).
 

Umesema mwenyewe umeishia Simiyu na Dar. Usibadilishe story hapa.

Na hata kama si kweli.

That's even worse.

Inawezekana una chuki binafsi na wanawake.

Jitafakari sana. Jambo hili linaweza kukufanya uingie kwenye ushoga.Ukivhukia wanawake ndiyo mwanzo wa kutaka wanaune huo.

Habari ambayo mnaichukia sana.

Hutakiwi kunilazimisha niheshimunutu wako wakati wewe mwenyewe hujui kuheshimu utu wa watu wengine, wanawake.

Unawalundika wote fungu moja kwa kuangakia wachache uliokutana nao wewe.

Wewe kama ni mshamba, nitakuambia wewe mshamba tu. Ukweli ni ukweli, hata nisiposema utabakia kuwa ukweli. Bora niseme ujue.

Mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…