Akiacha kwamba kafariki au kakosa? Tulianzia chini sana na sasa tunamshukuru Mungu tupo mahali angalau sana tu. Kwahiyo hata ikitokea tumeshuka basi tutapambana tena na tena. Nampenda sana na analijua hilo.Najua hata wewe hujui kama umempenda au lah, na kuahidi hicho kitu anacho provide siku akiacha ndo upendo nao utaisha
Logical non sequitur fallacy.Nashangaa huyu Mzee Kiranja anajifanya mjuaji na anapenda ubishi ambao hauna lazima. Yeye mwenyewe huko US kila mwanamke akimtaka/ tamani huwa anampata ?
Ad hominem logical fallacy.Ila Kiranga ni mjinga sana.
This is a typical bullying style.
Kuna tatizo Kiranga na unazeeka vibaya.
Je wa tumia mbinu gani, nipe uzoefu mkuuLegend hapigwa matukio Kikana wangu 😂😂😂
Good luck for you two. Ni rare sanaAkiacha kwamba kafariki au kakosa? Tulianzia chini sana na sasa tunamshukuru Mungu tupo mahali angalau sana tu. Kwahiyo hata ikitokea tumeshuka basi tutapambana tena na tena. Nampenda sana na analijua hilo.
Inasemekana unanishambuliana kiaina 🤣 Huyu mzee uhalisia wa maisha ya Watanzania hasa sisi kizazi cha 3 floor kuelekea 4th floor haujui.Ila Kiranga ni mjinga sana.
This is a typical bullying style.
Kuna tatizo Kiranga na unazeeka vibaya.
Good luck for you two.Akiacha kwamba kafariki au kakosa? Tulianzia chini sana na sasa tunamshukuru Mungu tupo mahali angalau sana tu. Kwahiyo hata ikitokea tumeshuka basi tutapambana tena na tena. Nampenda sana na analijua hilo.
Unaongeaga shit sana, ila ndo hivyo huelewi maana ni Mzee tayariAd hominem logical fallacy.
Look that up, I know you don't know.
Unamshambulia mtoa hoja kwa kejeli badala ya kujadili hoja.
Hii ni tabia ya mtu aliyeshindwa hoja na kuleta viroja.
Tumeshaga pelekeana moto sana na huyo mzee, mara nyingi huwa anadhani elimu alivyo nayo ndo uhalisia wa kila jamboInasemekana unanishambuliana kiaina 🤣 Huyu mzee uhalisia wa maisha ya Watanzania hasa sisi kizazi cha 3 floor kuelekea 4th floor haujui.
Mimi ninezungumzi uhalisia wa maisha hasa haya ya mahusiano kwa kizazi hiki chetu kuanzia 25 kuelekea 40. Yeye ananiandikia mambo ambayo ni ya ajbu ajabu na hayana maana yoyote
Ndio kiongozi niko tayari. Ilimradi niweze kupata maliUpo tayari kuhimili vichambo na matusi ? Lakini unakuwa ushabeba point 3 bila kutoa hata sh 100 🤣
Logic fallacy nyingi kama Ali zaliwa nazoAchana na huyo mzee, hajui analoandika msamehe tu 🤣
Mimi mwenyewe kwenye huu uzi alichokiandika , sijakielewa na nimediriki kumwambia usinifanye nikakuona Mzee wa hovyoTumeshaga pelekeana moto sana na huyo mzee, mara nyingi huwa anadhani elimu alivyo nayo ndo uhalisia wa kila jambo
Amesha toka katika uhalisia sana. Uzee umeingia kwa kasi sana. Mimi huwa aimdanganyi na mchana liveMimi mwenyewe kwenye huu uzi alichokiandika , sijakielewa na nimediriki kumwambia usinifanye nikakuona Mzee wa hovyo
Mzee mwenzako Kiranga alichokiandika humu umekisoma ?Mwaka 47 wakati Dunia imeanza kuchangamka changamka na mambo ya ubepari, Wanawake walibuni msemo wao maarufu miaka ile "Hapendwi mtu, inapendwa pochi'
Baadaye Niccolò Machiavelli alikazia kwenye moja ya kitabu chake maarufu akisema "an empty hand wins no friends"
Tuendeleeni kuteseka, tutapumzika tukifa 🙌
Hapana sijaona, labda kwa kuwa sijaanzia kurasa za juuMzee mwenzako Kiranga alichokiandika humu umekisoma ?