Women do not love you

Nashangaa huyu Mzee Kiranja anajifanya mjuaji na anapenda ubishi ambao hauna lazima. Yeye mwenyewe huko US kila mwanamke akimtaka/ tamani huwa anampata ?
 
Huo unaweza kuwa ukweli fulani ambao labda umetokana na mambo ya zamani, ya kiutamaduni, au ya muonekano zaidi kuliko kiuhalisia, mambo ambayo jamii nyingine zilishaweza kuyapita kwa elimu, kwa uchumi.

Pia, si kweli kwamba jike hupendelea dume imara kwa namna tegemezi, kuna tabia ya kusherehekea wanaume kama watu imara, na wanawake watu tegemezi, wakati hata katika binadamu kuna wanaume wengi wazembe wajinga, walevi tu, wanategemea wake zao.

Na pia, kuna mgawanyiko mwingi wa kazi ambao unapuuzwa, kazi anazofanya dume zinaonekana bora zaidi kuliko za jike.

Mfano, Simba dume anaonekana ndiye mfalme wa nyika, wakati katika kundi la Simba, Simba jike ndiye anayewinda katika asilimia 80 mpaka 90 za mawindo, Simba dume ana kazi yake ya kulinda eneo na watoto, lakini hapo katika popular imagination inaonekana kuwa Simba dume ndiye muwindaji. Kwa sababu ni dume.

Zaidi, mwanamke yeyote ana haki ya kuchagua anachotaka, bila kujali unachotaka wewe, kwa hiyo kama unaona hakufai, achana naye, chagua anayekufaa.

Na kama unaona wanawake wote hawakufai, unaweza pia kuchagua mwanamme mwenzako siku hizi watu wanaelewana tu wanavyotaka wao wawili.

Na kama hutaki mwanamme mwenzako, unaweza kukaa peke yako.

Kwani tatizo liko wapi?

Mmeumizwa sana na wanawake mnataka kuja kuwamalizia hasira hapa JF?

Nyie wenyewe wanaume mmekosea nini, mshawahi kujiuliza hilo?

Mwanamme anapomsema mwanamke anataka pesa na body tu, mshaangalia wanaume wanavyo objectify wanawake wenye matako makubwa, wenye mbususu za kubana, wasio na mikeage wenye bikra, wanaofinyia kwa ndani, hayo ndiyo mapenzi au na nyie mnawataka kwa vitu fulani tu?

Why should this thread not be interptered as men gaslighting women?
 
Jifunze kuwa na heshima basi we Mzee usitake nikuone mtu wa hovyo.
Heshima ni nini?

Heshima ni kuwanyanyapaa na kuwa gaslight wanawake kwa ku generalize habari za wanawake kwa mifano ya kishamba ya Simiyu na Dar?

Kama hiyo ndiyo heshima, ni bora unione mtu wa ovyo tu.

Sijawahi kutaka approval yako au ya mtu yeyote JF.

I am that secure.
 
Nashangaa huyu Mzee Kiranja anajifanya mjuaji na anapenda ubishi ambao hauna lazima. Yeye mwenyewe huko US kila mwanamke akimtaka/ tamani huwa anampata ?

Itabidi umzowee. 😊
He's so famous here for speaking his mind and standing his ground. Sio kitu kibaya, ndio uhuru wa fikra wenyewe. Kikubwa ni kuheshimiana kifikra na kimawazo na mwisho wa siku kila mtu akabako na anachofikiri ni sahihi.
 
Bila shaka kaka mkubwa umepigwa tukio sio bure kabisa
 
Ila kusema li Kiranga ni li mtu lenye ego ya kijinga sana. Na huo ndo ukweli linapenda kuweka logic na ego sahani moja.

Mwanamke hapendi, mwanamke ana tii, tunao penda sana sana ni sisi wanaume.

Mwanamke hupenda pale anapokuwa kafikishwa kihisia, sio muonekano wako ama wewe ulivyo, sahau hilo.

Nilikuwa nadhani wanaoperate kama wanaume na nilikesha sana kudadavua
 
Ila Kiranga ni mjinga sana.

This is a typical bullying style.

Kuna tatizo Kiranga na unazeeka vibaya.
 
Tajiri, hii mada yako ina uhalisia kwa kiasi kikubwa. Hakuna mwanamke atakupenda bila "kukuthaminisha". Hakuna, awe na hela au hana. Wanawake wameumbwa kupokea, ndio nature.
Halafu wanawake Kamwe hawawezi kuja kukubali hilo maana, it's their nature to ignore their deep embedded subconscious nature.

Ni sawa na mwanaume umwambie wewe unatakiwa kutoa pesa kwa mwanamke hata kama ana kazi yake
 
Halafu wanawake Kamwe hawawezi kuja kukubali hilo maana, it's their nature to ignore their deep embedded subconscious nature.

Ni sawa na mwanaume umwambie wewe unatakiwa kutoa pesa kwa mwanamke hata kama ana kazi yake

Vyovyote iwavyo; penzi la mwanamke halioti kama uyoga hata kama anazo, lazima atajipa vigezo na masharti.
 
Km ni lile pepa la True or False hapo mimi natembea na True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…