Women cheat for love and affection

trisha cute

Senior Member
Dec 1, 2020
194
607
Mwanaume anacheat sababu ya sex ila mwanamke anacheat sababu ya upendo!anacheat na mtu anaempenda!! anacheat kwa mapendo, anacheat sababu anampenda huyo anaecheat nae!! Women cheat for love and affection

Ps: Wewe Unaonaje?
 
KWA HIYO WEWE KUMVULIA NGUO MWANAUME AMBAYE SIO MMEO NDIO KUMUONESHA HUYO KUWA AMEKUPENDA ZAIDI KULIKO MMEO???? HIVYO NAWE UNALIPA HAMANI YA UCHI WAKO??
 
natafuta neno pesa ila silioni, aha kumbe , literally speaking, affection == pesa, sawa
 
Uhuni na uzinzi tu. Love and affection na madanga na machangudoa yote hayo mjini? Women cheat for umalaya tu kama wanaume.
 
Mimi Nilika nakula mke WA mtu Kila nikimuuliza Anakosa nini kwa Jamaa hasemi ila anampenda Kuliko Mimi. Nikamtema baada ya kuona Kabaang yangu naiweka rehani maana Kipato Jamaa Yuko sawa. Nani Msela WA zamani mzee wa sasa Mwili tattoo Kama zote
 
Mwanaume anacheat sababu ya sex...ila mwanamke anacheat sababu ya upendo!anacheat na mtu anaempenda!! anacheat kwa mapendo!! anacheat sababu anampenda huyo anaecheat nae!! Women cheat for love and affection!!

Ps: Wewe Unaonaje..?.
Women cheat for a reason...

Yaweza ikawa
Kisasi,
Uchumi,
Umalaya,
Tamaa,
Ulevi,

Mwanamke akishapenda ni mara sana kucheat kama hakuna sababu...

Yaani hapa napinga hoja...
 
Women cheat for a reason...

Yaweza ikawa
Kisasi,
Uchumi,
Umalaya,
Tamaa,
Ulevi,

Mwanamke akishapenda ni mara sana kucheat kama hakuna sababu...

Yaani hapa napinga hoja...
Me sikubaliani na ww mkuu
 
Acha kutulisha maneno. Wanaume tunazo sababu zetu zinazotufanya tu-cheat ila siyo hiyo uliyoitaja.
 
Mwanaume anacheat sababu ya sex...ila mwanamke anacheat sababu ya upendo!anacheat na mtu anaempenda!! anacheat kwa mapendo!! anacheat sababu anampenda huyo anaecheat nae!! Women cheat for love and affection!!

Ps: Wewe Unaonaje..?.

Both men and women wanacheat kwasabbu ya kutojielewa na kujitambua na kukosa kazi ya kufanya
 
Back
Top Bottom