kuna ujinga watu wana develop humu jf! mtu akitoa fact ili watu waelimishane na kubadilishana uzoefu mnaita kulalamika! what idid on this topic is giving my observation for people to come up with their opinion.....malalamiko hayawezi kuletwa hapa na sio kila unachosoma ni malalamiko! so dont underrate menYaan Blue G ningekuwa karibu ningekununulia soda mtu wangu, unajua baadhi ya wanaume wa siku hizi sijui niseme ni hizi chips mayai zinawalemaza, kutwa kulalama tu huku angali hata Mungu aliwapa big priority in their life.
Big up Blue G kwa kufafanua zaidi.
nafikiri wewe ndo hujanielewa na so by saying underrate men unakosea sana, no wonder watu walikuelewa vibaya.kuna ujinga watu wana develop humu jf! mtu akitoa fact ili watu waelimishane na kubadilishana uzoefu mnaita kulalamika! what idid on this topic is giving my observation for people to come up with their opinion.....malalamiko hayawezi kuletwa hapa na sio kila unachosoma ni malalamiko! so dont underrate men
U hit the pointwanawake sio wabaya hivyo tatizo ni tabia ya asili ya ubinafsi ya wanaume kutaka mwanamke akufanyie mambo yooote yanayokufurahisasha yanayotumia nguvu, akili rohi, tena ayatambue bila hata wewe kumwambia, ajue uko kwenye mood gani wakati hakuwa na wewe, ajue unataka kula nini cjui awe mzuri urefu, unene, rangi, kila kitu unachotaka wewe unasahau ni mwanadamu na yeye
aYaan Blue G ningekuwa karibu ningekununulia soda mtu wangu, unajua baadhi ya wanaume wa siku hizi sijui niseme ni hizi chips mayai zinawalemaza, kutwa kulalama tu huku angali hata Mungu aliwapa big priority in their life.
Big up Blue G kwa kufafanua zaidi.
asante mwaya wanawake wanaonewa mnooo yaani kila jambo baya wanawake dahhhYaan Blue G ningekuwa karibu ningekununulia soda mtu wangu, unajua baadhi ya wanaume wa siku hizi sijui niseme ni hizi chips mayai zinawalemaza, kutwa kulalama tu huku angali hata Mungu aliwapa big priority in their life.
Big up Blue G kwa kufafanua zaidi.
judge me basing on the content of my topic not on your poor judgement of my Topic title.......animal in my context has nothing to do with wild animals in SERENGETI as some of you passives!nafikiri wewe ndo hujanielewa na so by saying underrate men unakosea sana, no wonder watu walikuelewa vibaya.
You mean for you to under rate women you find it very easy and simple but people to give out their views unaita ujinga.
I am just warning you not to play with people's mind mkuu. what if i myself say you under rate women totaly? will you be at easy.
kama umefanyiwa hivyo bhana usilete hasira kwa wengine aaagrrrrrrr
Halafu umemsikia mtoa mada? eti nime under rate men!!!! what a shame on him??/a
asante mwaya wanawake wanaonewa mnooo yaani kila jambo baya wanawake dahhh
Nakubaliana na wanaume wenzangu waliofikia hitimisho kuwa ni rahisi kupata mali ukaimiliki na kufurahia maisha kuliko kupata mwanamke ukafurahia maisha.
Japo mpango wa Mungu ni wanaume waoe na waishi na wanawake kwa akili lakini hawa viumbe ni tanzi! unaweza ukafikiria uoe kijijini,ukimleta mjini anakuona wewe uliyemuoa ni fala! unaweza ukaoa mjini ukaonekana unamapungufu kulinganishwa na wenzio! ukionyesha upendo mkubwa na kujari unaonekana umedhibitiwa! ukijitutumua kuwa kauzu unaonekana gaidi!.
Una mpromote mwanamke kutoka maisha ya chini akiwa anasoma/hana kazi ya maana, akikamata channel anasahau hata alikotoka! ukimtendea wema leo mwezi ujao/kesho usipofanya wema kama huo unaonekana hujari/ huna faidi, mazuri yanafutwa!
Sijawahi kusikia mwanaume asiyekili changamoto za hawa mama zetu/Dada zetu.Naamini kuna wakati huwa hawajui wanachokitaka toka kwetu sisi wanaume!
You seems that you are learning english that is why you keep on educating people about serengeti and Manyara.judge me basing on the content of my topic not on your poor judgement of my Topic title.......animal in my context has nothing to do with wild animals in SERENGETI as some of you passives!
Hahahaa wewe baba kweli hutumii akili,at this century who brags about English anymore smh,wewe English unaona ndio kila kitu stupid moron...i wish it was a criticism but what you ended up here portraying is how poor you are with English language......i never used animals in my topic title to refer wild animals in MIKUMI so please give me break.
it is absurd for your little English command to make such remarks,if you were real good with this language you could not be refraining from the topic and going off points. nobody is complaining here hence you can sort their complaints and is not the right platform for them to do so.You seems that you are learning english that is why you keep on educating people about serengeti and Manyara.
there a lot of people with great mind who understand clearly than you think. pole I have not judged you personally but what i said is some men do complaints a lot rather than taking steps to the problem itself.
pole if by anymeans I touched you personally.
wewe unaweza kuwa mpumbavu zaidi kwa kuchangia maada ya mpumbavu! i also don't ague with fools Mama.Hahahaa wewe baba kweli hutumii akili,at this century who brags about English anymore smh,wewe English unaona ndio kila kitu stupid moron...
Kwanza unajichanganya tu hapa can't argue with you kama umetumia terminology ya biology kwenye post yako then should be biological post and for the record ni kingdom animalia proper word to use could be humans(we are homo sapiens)..English yako ya rasi simba wafundishe wanao,English my foot
am not saying am good in this language but what i see in you and that is only my observations is that, you are trying to learn english.it is absurd for your little English command to make such remarks,if you were real good with this language you could not be refraining from the topic and going off points. nobody is complaining here hence you can sort their complaints and is not the right platform for them to do so.
Brenda huyu jamaa kachafukwa kabisa, ingekuwa ni topic tu kaleta ya kuchangia asingetoa mapovu yote hayo kwa michango tu ya kawaida. sasa mimi kutaka kumpa Blue G soda imemuuma nini?? agrrrrr njoo huku Blue G unambie kama nimekukwaza maana nili - quote wewe. Blue GHahahaa wewe baba kweli hutumii akili,at this century who brags about English anymore smh,wewe English unaona ndio kila kitu stupid moron...
Kwanza unajichanganya tu hapa can't argue with you kama umetumia terminology ya biology kwenye post yako then should be biological post and for the record ni kingdom animalia proper word to use could be humans(we are homo sapiens)..English yako ya rasi simba wafundishe wanao,English my foot
Huna uwezo wa kujengo hoja mpaka uombe msaada! na comment sehemu.ninazoona zinapotosha ukweli wa maudhui ya mada!Brenda huyu jamaa kachafukwa kabisa, ingekuwa ni topic tu kaleta ya kuchangia asingetoa mapovu yote hayo kwa michango tu ya kawaida. sasa mimi kutaka kumpa Blue G soda imemuuma nini?? agrrrrr njoo huku Blue G unambie kama nimekukwaza maana nili - quote wewe. Blue G
and you are trying to be my English teacher with your poor ability which you have just admitted! just go and jump into the lake.am not saying am good in this language but what i see in you and that is only my observations is that, you are trying to learn english.
asante mwaya wanawake wanaonewa mnooo yaani kila jambo baya wanawake dahhh
Hahahaa Bob kachafukwa,at least kakubali ye ni mpumbavu teh..Brenda huyu jamaa kachafukwa kabisa, ingekuwa ni topic tu kaleta ya kuchangia asingetoa mapovu yote hayo kwa michango tu ya kawaida. sasa mimi kutaka kumpa Blue G soda imemuuma nini?? agrrrrr njoo huku Blue G unambie kama nimekukwaza maana nili - quote wewe. Blue G
tunapata burudani tu humu dada yangu! mijadala sio vita! hizo swaga tu mbona ama nene?Hahahaa Bob kachafukwa,at least kakubali ye ni mpumbavu teh..
Anamapovu huyo wacha ajipooze humu..mara jump to the lake mara give me a break Hahahaa ngoja tuwapishe watu na stress zao