Women are attracted not chased

Women are attracted not chased

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Habari wanajamii forum,Leo ningependa nizungumzie jambo moja kuhusu wanawake,wanaume wengi tumekuwa tupigwa kibuti na wanawake tunaowatongoza bila kujua sababu nni na wakati mwingine huwa tunafikiria wametukataa kwa sababu hatuna hela na sababu zinginezo pengine sio kweli,nilichogundua wanaume wengi huwa wanawafukizia wanawake,"women are attracted not chased",mwanamke siku zote huwa anavutiwa sio kufukuziwa,mwanamke ni kama kipepeo hutua kwenye maua mazuri yanayomvutia,kwa hiyo kama wwe ni mwanaume unataka umpate mwanamke wwe unachotakiwa ufanye nikumvutia mwanamke utamvutiaje mwanmke?,vaa vizuri kuwa msafi,tembea kama mwanaume mwenye afya sio mwanaume unatembea kama umelazimishwa,ongea kama mwanaume sauti nzitonzito sio mwanaume unaongea kama umebana pua,jiamini na ujifanye wa thamani wanawake wanapenda vitu vya thamani,ila usipende kujisifia wanawake wengi hawapendi mwanaume anayependa kujisifia,katika maongezi mwanaume unatakiwa umchallenge mwanamke sio kila kitu anachosema unakubuliana nae2 vingine unamkosoa,be unpredictable mwanaume unatakiwa mwanamke asikusome akakuelewa mwanzo mwisho,mwanaume unatakiwa usiwe unatabilika uwe unabadilika kulingana na maeneo,mwanamke ukimtongoza kwa Mara ya kwanza anaweza akakupa(shit test)kwa mfano akakutukana ikitokea hali kama hiyo mwambie hapo hapo kwamba hujapendezwa na tabia yake yakukutukana,usipende kuwauliza uliza maswali wanawake especially kwa mahusiano ya mwanzoni,hizo ni baadhi2 ya mbinu za kumvutia mwanamke nyingine mnaweza mkaongezea wengine!!

Note:unaweza ukawa unapesa ukikosa mbinu za kumvutia msichana unaweza ukawa unaishia kuchunwa pesa zako bila mafanikio yoyote yakupendwa na msichana!!
 
Nakubaliana na theory 100%, japo mapenzi ya kweli ni kinyume na hayo yote ya kum-attract mwanamke.
 
Mkuu hiyo theory yako inawagusa wanawake ambao hawaishi Africa hapa.. Hii uliotoa ni kwa wanawake wa Ulaya na Marekani ambapo wanawake wanazaliwa na kukulia katika mifumo tofauti na hapa.. suala la kuvaa vizuri wakati hela huna kiafrika hueleweki hata kidogo na ndipo lilipokuja jina la mwanaume suruali.. At least kwa wenzetu huko juu ambako wanawake wanazaliwa na kukulia katika mazingira ya kujitegemea wenyewe financially.. Huko ni rahisi kwa girl friend kumkopa boy friend wake hela na mwisho wa siku akarudisha..

So kwa huku kwetu we r always chasing them..
 
umeongea kweli


kiupande wangu nampenda anioneshe jinsi alivo sio anidaganye maana haitachukua siku mbili ntakugundua kitakachofat kibuti special
 
Mkuu hiyo theory yako inawagusa wanawake ambao hawaishi Africa hapa.. Hii uliotoa ni kwa wanawake wa Ulaya na Marekani ambapo wanawake wanazaliwa na kukulia katika mifumo tofauti na hapa.. suala la kuvaa vizuri wakati hela huna kiafrika hueleweki hata kidogo na ndipo lilipokuja jina la mwanaume suruali.. At least kwa wenzetu huko juu ambako wanawake wanazaliwa na kukulia katika mazingira ya kujitegemea wenyewe financially.. Huko ni rahisi kwa girl friend kumkopa boy friend wake hela na mwisho wa siku akarudisha..

So kwa huku kwetu we r always chasing them..

umetisha mkuu,hata Mwanamke Unapomtongoza Usimwambie Kama Unafanya Kazi,ili Upate Kumjua Ni Wadizaini Gani
 
umeongea kweli


kiupande wangu nampenda anioneshe jinsi alivo sio anidaganye maana haitachukua siku mbili ntakugundua kitakachofat kibuti special

Usipodanganywa Hautafurahia Penzi,raha Ya Mapenzi Mdanganyane Danganyane Kwani Inaleta Chachu Ya Mapenzi
 
The heading...spot on! The explanations.....welllll!
 
Kaka wanawake hawafanani wote, km hyo ni research ulichukua sumple kwa wanawake wa aina moja. Wanawake wanafanana kwenye baadhi ya mambo mfano mtu kuwa smart, lkn mengine yote umeenda chaka. Wanawake wanatofautiana kulingana na hulka, malezi na mazingira aliyokulia au ishi, plz uckariri.
Dem wa bushi huwez muapproach km wa town au wa town umuaproach km wa kijijini. Demu wa uzunguni huwez muaproach km wa manzese au wa manzese ukataka umuaproach km mtoto wa get kali. Ni jukumu la mwanaume kumsoma dem, km ni wa kufukuziwa au la, kuna wengine km humpigii misele utaishia kuvaa viziri na kisimama barabarani.
Wanawake wa uswahilini km anakujua, bila kujali umevaa nini, mwite kwa jina atasimama, mwambie Mwajuma me nakutaka siku nyingi sema kila nikikuita nikuambie, unasema upo bize. Hapo usha jieleza vya kutosha. Ukileta procedures uswaz atakuona lofa af atakusumbua hadi utaomba uunganishiwe na wazoefu.
Watoto wa uzunguni nao wana style zao, ndo maana mtu alietoka bushi ni ngumu kumtokea dem wa town kutokana na expereance znatofautiana.
 
M naamini wanawake wengi wanabutiwa Na hela so nawaoneshaga Tu munoti bila maneno,Na uwa nawapataga wazuri kweli tena!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom