Woman love Risk Takers

Masculinity - qualities or attributes regarded as characteristic of men.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
People, tuskilizane [emoji16][emoji16]
Men are risk takers and hustlers, sio kila risk ni lazima iingie kwenye rada, zingine unaziacha zipite,,, that's why most people in prison ni wanaume coz of risks ambazo was not worth taking,

Swala la ladies achana nalo tu they are confusing, but what i am sure of ni kuwa they love wanaume ambao wana dominance and potentials i mean cars, body morphology in term of symmetry, mkwanja, brain potential, position kwenye jamii, ujanja mwingii, na vitu kama hvyo, generally beats ideality ni their turning point yaan hvooo,, thats why wale wana ambao walikuwa wanacheza ball vizuri school, vipanga na madencer walitulia sana mademu zetu ( maniner zenu)

What ladies love ni satisfying outcome ya risks na sio risk yenyewe,,
 
Kiongozi nna swali,, if masculinity haihusiki na succes why, top field like engineering, law, business, uongozi, medicine, education, firms za biashara, na organization kibao,, majority ya zile top figure ni men,, if it doesn't have anything to do with hormones and something like that,, why top 10 billionaire ni men na hakuna she hata mmoko?
 
Nilichojifunza kwenye huu uzi;
Mada ya Kiingereza, halafu inajadiliwa Kiswahili
 
Nilichojifunza kwenye huu uzi;
Mada ya Kiingereza, halafu inajadiliwa Kiswahili
Jamani hiki kizaramu kina ladha yake kwenye majadiliano kibongo bongo.....hiki kimalkia tutakitumia tu kwingineko kinakohitajika....
 
Great point mzee.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Jamani hiki kizaramu kina ladha yake kwenye majadiliano kibongo bongo.....hiki kimalkia tutakitumia tu kwingineko kinakohitajika....
Hii ni lugha pendwa hasa kwa walevi na wasomi.
 
Mkuu nafikiri "masculinity " aliyoizungumzia ni psychologically zaidi na sio phenotype yani ile physical appearance???

Hii mada ya kutake Risk mdau kaileta tofauti au no wadau mdio wameelewa tofauti??

💪🏾😁 tuendelee na mada

...tupate kujifunza
 
Kuamua kuwa na mahusiano na mtu wakati huna pesa hiyo pekee ni risk tosha kabisa, sababu lolote laweza kukuta.

Ni wanawake wachache sana wana appreciate hiyo kitu, ki-bongo bongo wengiwao ni vichwa maji.

Imagine huna kazi, pesa au mambo yanakuendea vibaya, linatokea jambo unaamua ku-risk mambo yanakaa sawa, ni bora kama uli-risk Kwa jambo lako, vip kama ni Jambo la mtu mwingine ata appreciate?

Mwisho wa siku utaambiwa kwani nilikulazimisha! Si ulifanya kwa hiari yako, usingefanya wewe wapo wengine wangefanya.

Acha tuendelee ku-risk kwenye kutafuta mafanikio ila kwenye kupendwa ahh endeleeni kusubiri.
 
Kuna maisha nje ya mahusiano ya mapenzi, tumeshachoka na sreds za mapenzi khaaaqh.
 
Hivi mbona akitokea mwanaume akatusifia humu wanaume mnatoa mipovuuu hivi?[emoji57][emoji57]

Mna matatizo gani wanaume wa jf?
 
Usijali, mimi ni kama mleta mada........huu mkwara ni nyuma ya keyboard tu, nikiwa na mbebez huwezi amini ni mimi niliyetoka kupiga sound hapa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] kumbe nguvu za soda
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] kumbe nguvu za soda
Weee, nani yupo tayari kupoteza ka mbebez kwa kujifanya nunda.......na nyie punguzeni vituko basi, mtupunguzie hasira na disappointments angalau tuweze ku relax na nyinyi...
 
Weee, nani yupo tayari kupoteza ka mbebez kwa kujifanya nunda.......na nyie punguzeni vituko basi, mtupunguzie hasira na disappointments angalau tuweze ku relax na nyinyi...
Haahaa sasa mbona unampoteza mwenzako?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…