Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 437
Tumedhubutu,Tumeweza na Tunasonga mbele.
Kauli mbiu hii ya kinafiki.Aiwezekani kutembea unaimba kauli hii wakati huduma za afya bado duni.
Ndg tembelea Hospital ya RUFAA MUHIMBILI kajionee wodi ya wanaume SEWA HAJI KAJIONEE HALI MBAYA YA HUDUMA,
Wagonjwa wamelazwa chini kuanzia mlango kwenye rifti mpaka mwisho wa wodi ya unaingia tu pale.

Haitoshi ata njia ya kupita hakuna wagonjwa walivyo lala chini.
Je VIONGOZI WETU WANALIONA HILI/?
Je ni anasa za ainagani zinafanywa na viongozi wetu wanashindwa kununua vita au tunasubili msaada wa vitanda.?
Je ata NETI ZA KUZUIYA MBU HAKUNA tunaimba zinagawiwa bure wakati wagonjwa wamelala chini awana.?
Too pitty!bilion 64 zingejenga wodi ngapi na kununua vitanda vingapi? ngoja FF aje akujibu,eti wameweza!
Tumedhubutu,Tumeweza na Tunasonga mbele.
Kauli mbiu hii ya kinafiki.Aiwezekani kutembea unaimba kauli hii wakati huduma za afya bado duni.
Ndg tembelea Hospital ya RUFAA MUHIMBILI kajionee wodi ya wanaume SEWA HAJI KAJIONEE HALI MBAYA YA HUDUMA,
Wagonjwa wamelazwa chini kuanzia mlango kwenye rifti mpaka mwisho wa wodi ya unaingia tu pale.
Hiyo ni cha mtoto kaka, nenda maternity block ujionee mwenyewe...
View attachment 43462 View attachment 43463 View attachment 43464 View attachment 43465[
/QUOTE]
Angalia sakata hili la wabunge na posho . Kwa hakika ni moja ya mambo ya kuhuzunisha yanayotufungia mwaka. Kwamba imefika mahali wabunge wetu wamefikiria kuongezewa posho kutoka shilingi elfu sabini hadi laki mbili kwa siku, tena katika wakati huu mgumu kiuchumi ambao mamilioni ya WaTanzania wanaupitia. Huu ni usaliti kwa nchi yetu na si kitu kingine.
Mkuuu nimefika hapo wodi ya wakinamama wanosubili kujifunga au wamejifungua lakini bado wapo hospit kwa sababu za kitaalamu.
Mungu wangu uwezi amini wamelala chini na mimba zao wengine wanagarara na uchungu.
Jamaani hapa Muhimbili Noma.
WE fikili mwenye mimba kula chini.?
Hiii ni HATARI
TUMEDHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE mabango yameenea hapa Muhimbili!!!!!!!
UNAFIKI MKUBWA MUNGU WASHUSHIE RAANA
Mweeh nimeishia kutoa machozi tu!