hassandilunga
Senior Member
- Mar 17, 2020
- 146
- 151
- Thread starter
- #21
👍👍
👍👍
Concert anazofanya wizkid si za kitoto na kawazidi kwenye collabo za maana na kusikilizwa.Davido,Diamond,Burna Boy Kwamba hao watatu wapo vzr. Kuliko Wiz. Eti Wiz ni Overrated.
Kusililizwa kivipi mkuu?Concert anazofanya wizkid si za kitoto na kawazidi kwenye collabo za maana na kusikilizwa.
watu flani wanasemaga hakana kitu kinabebwa. Ukiwaambia walete facts hawana...
Alishafanya korabo na R.kelly.
Asante kwa kuchangia.
R Kelly ft Wiz Kid__I just want to Thank you.Alishafanya korabo na R.kelly.
Wiz kid kawahi?
Kidayo jauAlishafanya korabo na R.kelly.
Wiz kid kawahi?
Hata hivyo ile ya Kiba ndio ilikuwa Hit song.R Kelly ft Wiz Kid__I just want to Thank you.
Itafute Mkuu.....Hapo Haikuandikwa kwenye uzi
Yah. Ilikuwa na wasanii zaidi ya wa5. Na R.Kelly Mwenyewe One8
Alichukua tuzo mbele ya Wizkidayo huyu ebu mpe heshima yake.Ali Salehe Kiba
Inatosha kusema kiba ni msanii mkubwa kuliko Wiz kid, makofi kwake tafadhali.Alichukua tuzo mbele ya Wizkidayo huyu ebu mpe heshima yake.
Pwaaa pwaaa pwaaaInatosha kusema kiba ni msanii mkubwa kuliko Wiz kid, makofi kwake tafadhali.
😂😂😂😂😂Kiba huyu ambaye Views Milion 25 kwake Ndoto. Au Wanamuibiaga😀😀Inatosha kusema kiba ni msanii mkubwa kuliko Wiz kid, makofi kwake tafadhali.
Hapendi show off.😂😂😂😂😂Kiba huyu ambaye Views Milion 25 kwake Ndoto. Au Wanamuibiaga😀😀
Kiba huyu Ambaye Internationall Collabo hafikishi hata 5.😂😂😂
😂😂😂😂Hapendi show off.
Mkuu ukiendelea kutubishia subiri tukuporomoshee matusi.😀😀
Wazee wa dodo je mana nini tuwekee mkeka kama huo basi mnyamama mkareeeeeeWazee wa bunyero bunyero msambwanda wa buku jero inama nipachike rungu, mna hasira sana
Basi Robidinyo na playboy babu wakiona hii huwa wana nyweaaa nywiii wanapita bila kutoa nenoKiba huyu ambaye Views Milion 25 kwake Ndoto. Au Wanamuibiaga
![]()
Kiba huyu Ambaye Internationall Collabo hafikishi hata 5.![]()