Clip fupi kwenye Interview ya Star Boy Wizkid

barcelonista

Senior Member
Apr 26, 2021
158
146
Hii ni Clip fupi kwenye Interview ya Star Boy Wizkid,Hapo Wizkid anasema Album yake ya Sound From The Other Side ilikuwa kali Lakini hiyo inayokuja ni kali na haina mfano,Anakazia hapo kwa kusema watu wataelewa tu(sikiliza vizuri hiyo clip)

Sound From The Other Side ilikuwa Album yake ya 3 Baada ya Ayo na Superstar. Kwanini nimeandika?

Leo hii Album ya Made In Lagos imefikisha Streaming Bilion 1 kwenye Platform za muziki ambazo hazizidi 6. Hivyo Wizkid alikuwa na uhakika alijiandaa sana..Ndio maana alichukua muda mrefu kuandaa Album.

Huku Essence ikiwa nyimbo ya Taifa....

Je kuna cha kujifunza kwa wasanii wetu kuhusu Mziki na Album kwa ujumla? Utalalamika vp ukiona Grammy inakwenda Nigeria?


#Forgive Me.


 
Tuwashauri nini wasanii wetu kuhusu albamu za picha instagram au albam zipi mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom