The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,631
- Thread starter
- #41
Wizkido mi ninamkubali toka long time...kiasi kwamba nilipousikia huu wimbo for the first time nikiwa salon nikataja jina la muimbaji hadi mkongo alinishangaa na umri huu nimemjuaje Wizkid ....hiyo ni staili yake ya kuimba huyu dogo....yuko juu zaidi ya Davido na ni wa long....
Nilianza kumpenda ule mziki aloimba na Femi Kuti....afu naupenda ule Caro...si wake ila ameimba muda mrefu kwenye hiyo collabo
He is also very handsome...ha ha ha
Ha haahaa kweli umemfatilia aisee
ila huu wimbo ni best aisee