Msanii wiz kid amethibitisha kuja Tanzania km alivyo haidi ikiwa n moja kati ya nchi atakazo tembelea around the Africa get ready for good music kuanzia holla to you're boy, tease me, dance for you, Caro, show the money, in my bed, kind of love hadi ojuelegba
Naye hajalilia 'collabolation' na baba tifah?
mmmh sio kwa wizzy dadaangu, anajiamini balaa huyo jamaa, na hizo KiKi wanazompa wamarekani
Upo sawa mkuu jamaa anajiamini sana hadi maproducer wakubwa marekani kama akina "SWIZZ BEATZ" wanamkubali wenyewe jionee hapo...
mjeuri wa africa anakuja tz nasikia jamaa alikataa kupiga pic na daimond kwenye mtv awards jeuri sana yule dogoAlisema toka mwaka Jana atakuja Leo ndo ameconfirm tour itakuwepo
wizkid na kiba ni marafiki na wanajuana shahidi mejialabu director wa cheketua na crazyWiz kid kamfollow diamond insta vp yule msanii wenu anaechezaga nyimbo za wiz kid wakati hamjui kuna mtu km huyo