Wizi, wizi, wizi...!!

Mh ni hatari,
lakini na mtu anayenunua bila kujaribu kama inawaka ni mzembe
 
Mh ni hatari,
lakini na mtu anayenunua bila kujaribu kama inawaka ni mzembe
Mkuu hiyo unatest fresh kila ktu, unazungukwa wakati wakiweka kwenye box..
 
Mkuu hiyo unatest fresh kila ktu, unazungukwa wakati wakiweka kwenye box..
Duu, so wanafanya kama walivyokua wanauzia watu miche ya sabuni badala ya simu?
 
Tatizo kama alinunua kwa kutumia mlango wa nyuma au maduka yasiyokuwa na nidhamu hayana hata risiti zinazotambulika , pole zake jamani utapeli ni mkubwa wanatumia mbinu mbali mbali ili mradi wapate pesa isiyomtoa jasho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…