Tetesi:kuna habari zinazoenea kwa kasi juu ya wizi wa watoto hasa DAR.habri zaid zinadai wezi hao wanatumia gari aina ya Noah nyeusi.Pindi wanapoiba watoto huwakata vichwa na kuwanyofoa sehemu za siri.Hata Jana nackia tabata shule pale hiyo gari ilikutwa ikiwa na vichwa vya watoto.km ni kweli kwann serikali haifuatilii suala hili ?mana watoto wapo mashakani.
Tafadhali mwenye taarifa rasmi za uhakika na kuhusu kilichotokea Jana tabata shule atuambie.Nawasilisha
Tafadhali mwenye taarifa rasmi za uhakika na kuhusu kilichotokea Jana tabata shule atuambie.Nawasilisha