Hili nimelifanyia utafiti jana nilichukua saa nikaiseti kisha nikaanza kuongea baada ya kumaliza nilikuwa kama nimetumia dakika 8 katika dakika za vodacom saa halisi ilikuwa dakika 6 acheni huo wizi wenu vodacom
Hawa jamaa ni wezi balaa,kibaya zaidi hawaogopi lolote wanafanya wapendalo! Binafsi nailahumu sana TCRA kwa kutofatilia kwa karibu nyenendo za VODACOM wanawapa leeway mno.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.