Hawa voda ni wezi sana. Eti mara ghafla data ya 15000 kupata 10GB imegeuka 15000 unapata 2GB kwa siku saba. Nimechoka kabisa. Mbaya zaidi namba nyingine ni personnal kuwekewa vocha tu na ofisi wameamua kutuibia hata kama twanunua wenyewe. Acheni hizo jamani mbinguni hamtafika