Wizi wa TV Dar es Salaam

maxime melo thank you for JF Mungu akubariki
 
bro nitumie majina yako kamili nikurushie kitu kidogo werld remit ama western union
 
Hawa vibaka wamekuwa mtihani mkubwa, watu hawana amani majumbani mwao, huko Goba nasikia ndo kumekithiri. Tuendelee kushauriana nini cha kufanya, labda tutoe mapendekezo irudi sheria ya uzururaji

Fanyeni kama mbagala mwizi akikamatwa ni moto hawarudi hakuna kupelekana polisi
 
Fanyeni kama mbagala mwizi akikamatwa ni moto hawarudi hakuna kupelekana polisi
Naskia tegeta wao wanamtikisa mwizi Adi ubongo unachanganyika, maini na utumbo vinachanganyika afu wana kuacha hapo. Haichukui dk 10 unajifia mwenyewe
 
Basi ungempasua japo kende zake ili asije akatuongezea idadi ya vibaka mtaani
 
Naskia tegeta wao wanamtikisa mwizi Adi ubongo unachanganyika, maini na utumbo vinachanganyika afu wana kuacha hapo. Haichukui dk 10 unajifia mwenyewe
Hii kiboko.... hapo mtu wala huna kosa la majaji mbele za Mungu. Anakuwa amejifia kwa hiari yake
 
Salasala juzi kuamkia leo wamechukua seblen jion tuu saa 1 flat 42inch juu ya meza duuu yan awajamaa ukiwaotea amna cha huruma aseee🧔🏻🧔🏻🧔🏻🧔🏻 nashauri tukilala tuvae mask [emoji40] kwasb wanakuaga na spray yausingz
 
Bro wangu hana miezi miwili walimliza,itakuwa wezi wana order kubwa ya tv
 
Dawa ni kufunga gprs tracker tuu
 
Hao ni shemeji zako hela ya tv wanakula na mke wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…