Wizi wa simu

Raaj

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
205
Reaction score
29
Ndugu wana Jf huku kwetu wizi wa simu umekithiri sana juzi niliibiwa Nokia C3,nime jichanga nime nunua Nokia X2-01,kama mjuavyo kinga ni bora kuliko tiba naomba msaada Ndugu zangu kama kuna uwezekano mnipe maujanja ya kufanya ili mtu akiiba na kubadiri laini nitumiwe sms au njia ambayo inaweza kunisaidia kuipata simu ikiibiwa
Asanteni sana
 

mkuu hizi antitheft mtu akiformat tu simu zinasepa nazo so wala usijisumbue siku hizi hadi mateja wanajua kuformat.

nafkiri kutoka kwa hizi custom rom inabidi rom ya simu ndo iwe na anttheft ili kuzuia watu wakiformat kuondoka.

simu kama za iphone na windows phone nafkiri ndo zinaweza kuresist hii kitu (japo sipo sure)
 
Asante,lakini hamna namna yoyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…