Wizi wa pikipiki

B49

Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
75
Reaction score
119
Jamani jihadharini na wizi wa kutumia pikipiki hasa mnapokuwa kwenye magar na vioo Viko wazi

Hii ilinikuta mm jana wakati nipo kwenye daladala naperuzi jamii forum ilikuja pikipik inavijana wawili kwa kasi ya ajabu yule wa nyuma akaingiza mkono dirishani na kuivuta sim yangu ila mungu mkubwa niliishika kwa nguvu walifeli
 
Ile njia ya Kwamtogole kutokea Sinza kuna sehemu inaitwa mahakama ya simu ndiyo zao hizo
 
Reactions: B49
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…