kuna rafiki yangu ameibiwa pikipiki leo hii pale maeneo ya NMB bank tawi la clocktower.
Jamaa alipark pikipiki yake nje ya jengo la bank na polisi waliokuwepo walimuelekeza sehemu ya kupark.
Cha kushangaza jamaa alivyomaliza kujihudumia ndani ya bank alipotoka hakuikuta pikipiki yake.
Kuwauliza polisi hawakujua lolote!kumuuliza meneja wala hatambui!
Hii ni tahadhari kwa wateja wa NMB wa tawi hili!kuna kamchezo cha polisi wanaolinda bank hii kuwaibia wateja!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA