warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,471
Habarini wakuu?? Kuna mtu alipotelewa na simu jana, mbaya zaidi aliyoiiba anatumia simu hiyo kwa ajili ya kuwatumia watu message na kuwaomba pesa, ameshawatapeli baadhi, yaan anachofanya anaomba pesa halafu anamtumia muhusika namba ya simu nyingine ili atumiwe uko, hiyo namba anayotumiwa pesa ipo ila haipatikan,je huyo mtu anaweza kupatikana?? Sasa ivi namba zote hazipatikani. Msaada tafadhali