Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,150
- 1,441
Hii Sio 5g itakua 10g SasaHata airtel eti wamesema ni kwamba inaenda fasta internent maana sio 4g ni 5g
Ishu ya 4g au 5g hata haihusiani na ulaji wa Mbs, hizo n speed tuu .Hii Sio 5g itakua 10g Sasa
Ni kweli hata mimi niliona hili ila sema hii biashara inamilikiwa na wanasiasa wenye madaraka makubwaWadau Leo Voda na halotel wanakula MB vibaya mno ukiweza la Huku ukafungua hata jf sekunde limeisha, huu ni wizi au Kuna shida sehem,
Chap tuWadau Leo Voda na halotel wanakula MB vibaya mno ukiweza la Huku ukafungua hata jf sekunde limeisha, huu ni wizi au Kuna shida sehem,
Tuishazoea kuibiwa mpaka tumeona ni kawaidaVoda niliwahi kuweka bando nikiwa Tunduma nafika Vwawa naambiwa 75% used nilicheka sana wakati huo huo bundle ya airtel ya Zambia niliyoweka kwa hela ndogo na kupata 5Gb bado ipo hata sasa hivi ipo narudi huko naendelea kuitumia ila 20Gb ya Voda ishaisha mara mbili na kazi ile ile..
Naomba niboldHii mitandao kumanyoko zao! 😎
Hii mitandao sometimes inatuona kama makebo yao 🤣Naomba nibold
Tigo ndio washenzi yan duh! Nina kipocket wifi.. sasa hiyo siku nikaenda misele.. kiwifi nkakiacha home,, 10 GB nikaanza kuitumia saa 12, saa 1 haikufika hata na nusu natumiwa sms et umetumia asilimia 75 za bundle lako, umebakiza GB1.9
Ningekuwa dragon ile siku ningetoa moto niwaunguze 😹
8GB haijamaliza 2hrs? Na sio kwamba nimeangalia movie online!!
Unawajua tigo wewe 😹Airtel ndio wanaongoza kwa Wizi wa Mb yani ofisini nawekewa 50gb lakini nisawasawa tu na Gb 5 ukiingia tu Instagram dakika 10 unakuta gb zaidi ya 3 zimeteketea. Bora hata halotel
Ndio mnafanyeje hukoWengine tunadunda na VPN tu hatuna presha😃😃