GP
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 2,049
- 161
wakuu,
siku hizi maeneo ya katikati ya jiji na hasa kule maeneo ya karibu na chuo cha ifm, mtaa wa samora etc. kumezuka WIZI wa laptops kwa kutumia magari hasa TAXI na saloons.
hii ni kutokana na kwamba MABEGI YANAYOBEBA LAPTOPS YANAJULIKANA, HIVYO UNATEMBEA BARABARANI na LAPTOP yako begani unashangaa ghafla IMEKWAPULIWA na mtu toka ndani ya GARI na gari kutokomea.
kuweni makini na mabegi yenye laptops.