Wizi wa Kura Wanaswa, Mpango Mzima Huu Hapa

Bado bado badoooo bado mambo maaabadoooo.25
 
Attachments

  • 1442582317225.jpg
    1442582317225.jpg
    26.1 KB · Views: 263
Jana alhamisi gazeti la m.a.w.i.o la kila wiki wamechapisha majina langu likiwemo kuwa ni "makapteni Wa ushindi Wa Ccm" na tupo takibrani 60000 tumeshambazwa nchi nzima na tunalipwa 125000 kwa wiki huu ni uongo na wanaleta uchochezi kwa watanzania na kutaka kuharibu uchaguzi kwa kuona Ukawa wanashindwa.

Natoa rai kwa wizara husika kulichukulia hatua stakihi hili gazeti kwa kufanya sweeping analysis yenye Marengo Wa fallacy of irrelevance.

nimekasirika sana kuchafua Ccm yangu.

Ilishachafuka walichofanya nikuongezea UCHAFU....
 
Jana alhamisi gazeti la m.a.w.i.o la kila wiki wamechapisha majina langu likiwemo kuwa ni "makapteni Wa ushindi Wa Ccm" na tupo takibrani 60000 tumeshambazwa nchi nzima na tunalipwa 125000 kwa wiki huu ni uongo na wanaleta uchochezi kwa watanzania na kutaka kuharibu uchaguzi kwa kuona Ukawa wanashindwa.

Natoa rai kwa wizara husika kulichukulia hatua stakihi hili gazeti kwa kufanya sweeping analysis yenye Marengo Wa fallacy of irrelevance.

nimekasirika sana kuchafua Ccm yangu.

Nimewakubali Mawio wapo vizuri.Mie kwenye yale Majina kuna majina mawili.nayafahamu.Mmoja ni Dogo tunatoka kijiji kimoja,huyu.kaulizwa hii kitu kakana,japo tunamtilia mashaka.
Mmoja ni binti kasoma na mdogo wangu secondary huyu naye kakana.Lakini tumepata taarifa za uhakika kuwa huyu mdada kaanza kuzunguka katika jimbo.la Njombe Kaskazini (Lupembe kwa sasa) yupo katika vijiji vya kata ya Ikondo na Ukalawa.Anawakusanya wenyeviti wa vijiji na vitongoji.Watu wakimhoji anasema ni kazi kutoka ofisi ya Rais.
Mawio hawajakurupuka huu mpango upo.
 
we kama upo imekla kwako jitoe faster now ni mabadiliko tu akuna namna

Kama kweli jina lako lipo hiyo habari ni kweli

Jina lako lilikuwa namba ngapi kwani?

Duh, mmechomolewahuko mnaanza kuhaha ni kawaida yenu kukanusha kila kitu. Lakini wewe inaonekana ni mwongo umekuja kupima hali ya hewa tu hapa.

Huu mpango upo nimeona majina mawili ya niwajuao na tumewapeleleza ni kweli kuna mambo yapo tayari yameshaanza.Na huko vijijini wanasema ni maagizo kutoka ofisi ya Rais.
 
Cyo tu kwamba nyinyi mpo katika mpango Wa kuharibu maamuzi ya watanzania wanaopenda mabadiliko,njaaa zitawaponza kitaani,na mbaya zaidi mmeanikwa mkiwa watupu
 
kwanini uje kulalamika mtandaoni kama wameweka jina lako kwa tuhuma,nenda mahakamani sio wizara kuchukua hatua
 
Jana alhamisi gazeti la m.a.w.i.o la kila wiki wamechapisha majina langu likiwemo kuwa ni "makapteni Wa ushindi Wa Ccm" na tupo takibrani 60000 tumeshambazwa nchi nzima na tunalipwa 125000 kwa wiki huu ni uongo na wanaleta uchochezi kwa watanzania na kutaka kuharibu uchaguzi kwa kuona Ukawa wanashindwa.

Natoa rai kwa wizara husika kulichukulia hatua stakihi hili gazeti kwa kufanya sweeping analysis yenye Marengo Wa fallacy of irrelevance.

nimekasirika sana kuchafua Ccm yangu.

Hongera kuandikwa gazetini maana hujazoea
 
Usiingoje wizara ichukue hatua, anza wewe kutangulia mahakamani kwa kulishitaki gazeti husika. Ukishindwa kufanya hivyo basi taarifa hiyo ina ukweli ndani yake.
 
Back
Top Bottom