Wizi wa flat screen Dodoma

ebuji

Member
Feb 28, 2007
16
3
Wizi wa flat screen tv pamoja na remote zake imekuwa kitu cha kawaida. Wezi huvunja madirisha usiku na kuiba flat screen na remote zake tu hata kama wakikuta kitu kingine cha thamani hawachukui, wengi tumeibiwa lakini mara ukiripoti polisi utajibiwa kuna kesi nyingine labda ishirini au zaidi za namna yako, je kuna nini nyuma ya pazia?
 
Mimi kwangu nimeibiwa Dodoma juzi jumamosi....nadhani na ninasema wazi kbsa kuna watu wanamuhujumu RC,RPC,DC...wenzi kwangu wamekamatwa then Mkuu wa upelelezi anasema wale wenzi wawekwe kama mashaidi
Nitamfikishia Mzee Kangi lugola kuna baadhi ya watumishi hawatimizi wajibu wao
 
Weka ulinzi kwa umeme mkuu
 
je dawa ni nini kuzuia wizi wa flat screen maana wenye guest tunaumizwa balaa
 
Weka Kamera.
Ukishamjua unamalizana naye mana mwizi anayeingia ndani amejihalalishia kuua au kuuawa.

Lakini pia kamati za ulinzi na usalama za Kata,vijiji na vitongoji zinafanya kazi gani kama wezi wanaongezeka bila kukamatwa ?
Au wanadhani kazi yao ni siasa tuuu!?
Vibaka ni wachache lakini cha ajabu RAIA wema ambao ndio wengi wanashindwa kujipanga na kuwamaliza popote walipo kuwapunguzia mzigo polisi ambao pia ni wachache na wenye vitendea kazi pungufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shukrani kwa ushauri.... ila wengi wao ni wageni hasa kwenye guest house wanafungua flati na kuziweka kwenye mabegi yao na huwezi mkamata hata cctv camera ikimshika sura
 
Wenye Magest wa eneo Fulani kutaneni muweke utaratibu wa kuandika Namba za simu halisi za mgeni na jina liandikwe kwa kutumia kitambulisho cha mpiga kura au cha Taifa au Bima ya Afya au Leseni.
Hasa anapokuja mteja kijana kijana mkamtilia wasiwasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka Kamera.
Ukishamjua unamalizana naye mana mwizi anayeingia ndani amejihalalishia kuua au kuuawa.

Lakini pia kamati za ulinzi na usalama za Kata,vijiji na vitongoji zinafanya kazi gani kama wezi wanaongezeka bila kukamatwa ?
Au wanadhani kazi yao ni siasa tuuu!?
Vibaka ni wachache lakini cha ajabu RAIA wema ambao ndio wengi wanashindwa kujipanga na kuwamaliza popote walipo kuwapunguzia mzigo polisi ambao pia ni wachache na wenye vitendea kazi pungufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wagogo wavivu sana asikwambie mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom