Wizi wa Data umerudi tena kwa kasi

Wizi wa Data umerudi tena kwa kasi

Voda hapana kwa kweli...
Nikiwa ndani ya daladala niliweka bundle ili niwe na peruzi wakati wa safari (ni safari ya saa 1 ), ila likaisha kabla hata gari halijaondoka na sikudownload kitu chochote.
 
Hali hii hutokea pindi unapoacha application on zinazokula mb automatic,cha kufanya uwe unaweka on application ambazo unahitaji kutumia tu kwa wakati huo
 
Kwenye simu kuna laini mbili, voda na halotel, bando la halotel linakaa zaidi ya voda. Sidhani kama background apps zinachagua zitumie bando la mtandao fulani tu.
 
4G ya Voda inatembea hatari
 
Back
Top Bottom