Wizi wa Bank ya CRDB

Status
Not open for further replies.
Mbona Barclays bank tunakatwa 10000 kwa mwezi tumetulia tuu.we hela ya mboga umekatwa unaliia.
 
alafu mbona mi sionagi faida yao mwisho wa mwaka??
 
Faida kubwa ya bank inategemea kukopesha hela, ambazo kwa sasa zina insurance hivyo wanajihakishia faida for over 90%. Hayo mabilioni wanayopata ya mikopo kwa hela za wateja more than 20% interest kwa mkopo; mteja aliyewapa hela zake wafanyie biashara anafaidikaje??

kwa ujumla naona CRDB wameingiza michango mingi sana kwa pamoja;
Kutoa hela juu
  • kuangalia salio wanacharge
  • statement wanacharge
  • Kubadilisha kard ambayo ni lazima kila 2yrs shs 7300???? huu sio wizi??
  • kutoa hela mara moja 700shs
  • Michango hiyo yote na mingine imeingizwa bila taarifa rasmi ya makato yanayo ongezeka kwa wateja

binafsi naona wamejisahau???
 

Useful info mkuu
 
Sawa na sasa ukita kujua balance tu 500! Kuchungulia kwenye computer na kukuambia una buku 2 wanata mia tano!
 

umeona eeh
alafu kuna mijitu umu sijui imetumwa inaleta majibu ya ki..sen..ge...se...nge eti tukae na ela zetu nyumbani
badala mkusanye maoni wateja wenu wanasemaje yenyewe yamekalia kuponda tu!!
 
Mparee2,

Mi naona vikoba vinalipa zaidi tumechoka
 
Last edited by a moderator:
yaan hawa jamaa ni noma mi nilifungua business ac nakatwa 12500 kwa mwezi na kila nikitoa hela kwenye atm nakatwa hela tena unaweza kutoa mil 2 yaan lak nne mara 5 hivyo unakatwa 4000. Halafu wizi mwingine mkubwa kila mteja hukatwa 4400 kwa ajili ya kumiliki atm card. majanga!!!
 
kazi ya kutoa mikopo na loan ndiyo asset ya bank na sio savings and deposits. hiyo huduma ya savings and deposits bank hawapati faida yoyote na watu wa benk kwanza hawapendi ndio maana wanaweka ATM hadi mitaani mtoe ela zenu mkatumie . ila unapoenda bank kuchukua mkopo wanafurahi sana kwani hilo ndio kusudio la kuanzisha bank na kutoa huduma ya savings and deposit kwa charges ya 1500 kwa mwezi utalipa mishahara watu wangapi ? si itafirisika bank yenyewe . ila unapochukua loan ya milion 10 unalipa milion 15 ndio furaha yao
 

Hata NMB hivyohivyo ndg yangu, tena wanakata 800 per transaction. Wanyonge ni kuibiwa tu huku unaona, hakuna cha kufanya
 

4,400 ni kwa miezi sita, kwa mwaka ni 8,800.

Yani wamenikera katika kipindi cha Nov2014-March 6,2015 wamenikata 54,000!!!
Ikabidi nihoji palepale nikapewa maelezo marefu ambacho milikielewa ni 4,000 tu ambayo ilikatwa kama chaji ya kupokea hela kupitia akaunti nyingine.
 
Jamani hizo ndo bank charges au hamjui? Hakuna free lunch. Kutoa au kutuma milion moja m pesa kiasi gani?
Kwani hela yetu hawaizungushi kupata faida? Ningekuwa na akaunti huko ningebeba hela zangu zote
 

Suluhisho ni Islamic Banking!
 
we mtoa mada hovyo kabisa...sitoshangaa siku ukija hapa ukidai nauli za daladala zifutwe coz makonda wanakuibia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…