Wizi wa aina mpya ukiwa Kariakoo

tundu007

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
260
Reaction score
136
Habari zenu wanajamvi!

Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya saa kumi za jioni! Nilipitia maeneo hayo na wadada fulani wawili niliowapa lift wakaniomba niwashushe kuna kitu walikua wanahitaji maeneo hayo!

Sasa baada ya kuwashusha kusogea mbele kidogo nikasikia jamaa akiniita kunieleza kua naitwa ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! Kumbe kufunga vioo pia inasaidia sana kupunguza wahalifu kufanya yao!kwahiyo hapa nilipo maumivu yangu ni makali mnoo!hata kazini sijakwenda kwa maumivu ya jana!!

so nawapa angalizo muwapo maeneo hayo!!
 
Umeninyima gari sasa naanza show off badala ya kuwasaidia wazazi wako. Imekula kwako
 
Huu wizi wa mwaka 47!!!!!
 
Mouse samahani sana, naomba nikuulize swali moja, hao uliowapa lift ulikua unawajy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…