Naandika hivi kwa masikitiko makubwa kwa kile kilichonitokea na ambacho nimekiona kabla pale Posta Mpya, Dar es Salaam.
Kwanza kila unapotuma mzigo, wanakwambia ukanunue tape kwenye duka moja pembeni na wanasisitiza lazima boksi zima lizungushiwe tape kitu ambacho hakina mantiki yoyote. Kuna hela nyingi inatengenezwa pale kwa jambo hilo tu.
Sasa leo ndiyo wameniweza kabisa. Nimeenda na vimizigo vyangu kutuma vikapu Marekani, baada ya kukaa siku nzima pale wakinizungusha mara hili na lile, mwisho wa siku wananiambia kila boksi la kilo 30 ni shillingi 600,000 na zaidi kutuma Marekani kama gharama za shipping wakati hapo kabla mizigo kama hiyo ilikuwa haizidi 40,000 kwa boksi. Hapo tayari nimeshaingia gharama za usafiri ambapo nimekaa na dereva siku nzima.
Nimerudi na mizigo yangu nikitafakari la kufanya ila kwa mtindo huu, sijui kama tutafika Watanzania wenzangu.
Kama wahusika wanadhani wamenikomoa, nawaambia wajitafakari tena. Maisha hayaendi hivyo kwa kuishi na uonevu, chuki na wivu usio na kichwa wala mguu.
Kama kuna mwenye ushauri, nipo tayari kuupokea.
Nilivyoelewa ni kuwa vikapu ndio bidhaa anayoisafirisha.Ni vitu gani hasa hadi utume na mavikapu marekani? Ingekua bahasha ya document muhimu kama vyeti ingekua sawa lakini wewe ni mavikapu. Nyie mnaona sifa kuwatumia ndugu sijui matunda na n.k marekani, mnakosea sana kwa kudhani kule hamna. Acheni kuwasumbua watu. Ndugu anasita kukuambia usitumie kwa kuogopa utamchukuliaje lakini ungejua moyoni kwake tuu usingejaribu kujipendekeza. Kila kitu cha kula unachokiona hapa bongo marekani kipo tena zaidi ya hapa na nzuri zaidi kwa mfano samaki sato wale wa daraja la kwanza wote wanasafirishwa kwenda ula as well as kahawa na vinginevyo. Kujipendekeza sio kuzuri
Kama hilo linakushangaza labda kuishi Tz!Hiyo biashara inayobadilika transport fee kuanzia 40000 hadi 600000 sijawaona. May be alikua anatuma miaka ya 47 akastop now amerudi tena
Ni jambo la kushangaza bei kupanda from 40000 na kuwa 600000 kama kweli anafanya biashara angeenda kuchukua risiti za kipindi cha nyuma ili aweze kuhojiNilivyoelewa ni kuwa vikapu ndio bidhaa anayoisafirisha.
Kwa nchi hii uhoji au usihoji bora kuna aliyetamka na kuna mtekelezaji, haibadilishi kitu.Ni jambo la kushangaza bei kupanda from 40000 na kuwa 600000 kama kweli anafanya biashara angeenda kuchukua risiti za kipindi cha nyuma ili aweze kuhoji
Kisamvu na matembele yapo?Ni vitu gani hasa hadi utume na mavikapu marekani? Ingekua bahasha ya document muhimu kama vyeti ingekua sawa lakini wewe ni mavikapu. Nyie mnaona sifa kuwatumia ndugu sijui matunda na n.k marekani, mnakosea sana kwa kudhani kule hamna. Acheni kuwasumbua watu. Ndugu anasita kukuambia usitumie kwa kuogopa utamchukuliaje lakini ungejua moyoni kwake tuu usingejaribu kujipendekeza. Kila kitu cha kula unachokiona hapa bongo marekani kipo tena zaidi ya hapa na nzuri zaidi kwa mfano samaki sato wale wa daraja la kwanza wote wanasafirishwa kwenda ula as well as kahawa na vinginevyo. Kujipendekeza sio kuzuri
Ungewaomba kitabu cha bei ( tarif) ujiridhishe.Naandika hivi kwa masikitiko makubwa kwa kile kilichonitokea na ambacho nimekiona kabla pale Posta Mpya, Dar es Salaam.
Kwanza kila unapotuma mzigo, wanakwambia ukanunue tape kwenye duka moja pembeni na wanasisitiza lazima boksi zima lizungushiwe tape kitu ambacho hakina mantiki yoyote. Kuna hela nyingi inatengenezwa pale kwa jambo hilo tu.
Sasa leo ndiyo wameniweza kabisa. Nimeenda na vimizigo vyangu kutuma vikapu Marekani, baada ya kukaa siku nzima pale wakinizungusha mara hili na lile, mwisho wa siku wananiambia kila boksi la kilo 30 ni shillingi 600,000 na zaidi kutuma Marekani kama gharama za shipping wakati hapo kabla mizigo kama hiyo ilikuwa haizidi 40,000 kwa boksi. Hapo tayari nimeshaingia gharama za usafiri ambapo nimekaa na dereva siku nzima.
Nimerudi na mizigo yangu nikitafakari la kufanya ila kwa mtindo huu, sijui kama tutafika Watanzania wenzangu.
Kama wahusika wanadhani wamenikomoa, nawaambia wajitafakari tena. Maisha hayaendi hivyo kwa kuishi na uonevu, chuki na wivu usio na kichwa wala mguu.
Kama kuna mwenye ushauri, nipo tayari kuupokea.
Tumia kampuni kama fedex mbona hakuna uswahili namna hiyoNaandika hivi kwa masikitiko makubwa kwa kile kilichonitokea na ambacho nimekiona kabla pale Posta Mpya, Dar es Salaam.