hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,394
hapo itategemea na manufaa ytakayo kuwapo kwenye huo mzigo wenyew " dhidi yakona ukikuta ni kubwa???

Hakuna sheria inayozuia kutuma vikapu. Tatizo kubwa la Tanzania ni kuwa hakuna standard ya huduma/ushuru inayojulikana. Kila mtu ana standard yake kichwani. Je umejaribi kuwadadisi kwanini siku za nyuma gharama ilikuwa 40,000 na sasa imepanda mpaka 600,000? Umeulizia kanuni walizotumia? Jaribu kutumia huduma ya tawi jingine uone kama kuna standard maalum ya kuchaji mzigo. Una test na box moja kwanza.Tubaki kwenye mada. Sheria gani inazuia kutuma vikapu nje? Au ndiyo roho hii iliyo kwa wafanyakazi wa Posta? Badala ya kufanya kazi yao wanajiuliza kwa nini unatuma mzigo fulani? Hilo linawahusu nini? Ndiyo maana tafsiri yangu kwa kilichotokea ni chuki, wivu, ushenzi na ushetani tu ndani ya mioyo yetu tu.
rubbishNi vitu gani hasa hadi utume na mavikapu marekani? Ingekua bahasha ya document muhimu kama vyeti ingekua sawa lakini wewe ni mavikapu. Nyie mnaona sifa kuwatumia ndugu sijui matunda na n.k marekani, mnakosea sana kwa kudhani kule hamna. Acheni kuwasumbua watu. Ndugu anasita kukuambia usitumie kwa kuogopa utamchukuliaje lakini ungejua moyoni kwake tuu usingejaribu kujipendekeza. Kila kitu cha kula unachokiona hapa bongo marekani kipo tena zaidi ya hapa na nzuri zaidi kwa mfano samaki sato wale wa daraja la kwanza wote wanasafirishwa kwenda ula as well as kahawa na vinginevyo. Kujipendekeza sio kuzuri
Hivi posta ukitumiwa mzigo nani analipia, wewe ulietumiwa au aliekutumia?
Juzi hapa kaja messanger wa ofisi yetu ananipa kikaratasi kua niende mwenyewe kuchukua mzigo wangu.
Nilivyoenda posta wakaniambia inabidi nilipie, hata sikujua nani kanitumia mzigo maana ningejua kabla nisingeenda.
Baada ya kufika nikajua mzigo ulipotoka alafu naambiwa nilipie nikatokomea jumla.
Swali langu, ukitumiwa mzigo nani anatakiwa kulipia gharama za mzigo?
kama ni mzigo biashara usitumie hapa bongo watakuchaji gharama mara 100,nenda nchi jirani bei ni chiniNaandika hivi kwa masikitiko makubwa kwa kile kilichonitokea na ambacho nimekiona kabla pale Posta Mpya, Dar es Salaam.
Kwanza kila unapotuma mzigo, wanakwambia ukanunue tape kwenye duka moja pembeni na wanasisitiza lazima boksi zima lizungushiwe tape kitu ambacho hakina mantiki yoyote. Kuna hela nyingi inatengenezwa pale kwa jambo hilo tu.
Sasa leo ndiyo wameniweza kabisa. Nimeenda na vimizigo vyangu kutuma vikapu Marekani, baada ya kukaa siku nzima pale wakinizungusha mara hili na lile, mwisho wa siku wananiambia kila boksi la kilo 30 ni shillingi 600,000 na zaidi kutuma Marekani kama gharama za shipping wakati hapo kabla mizigo kama hiyo ilikuwa haizidi 40,000 kwa boksi. Hapo tayari nimeshaingia gharama za usafiri ambapo nimekaa na dereva siku nzima.
Nimerudi na mizigo yangu nikitafakari la kufanya ila kwa mtindo huu, sijui kama tutafika Watanzania wenzangu.
Kama wahusika wanadhani wamenikomoa, nawaambia wajitafakari tena. Maisha hayaendi hivyo kwa kuishi na uonevu, chuki na wivu usio na kichwa wala mguu.
Kama kuna mwenye ushauri, nipo tayari kuupokea.
Hasira zote hizi za nini?Ni vitu gani hasa hadi utume na mavikapu marekani? Ingekua bahasha ya document muhimu kama vyeti ingekua sawa lakini wewe ni mavikapu. Nyie mnaona sifa kuwatumia ndugu sijui matunda na n.k marekani, mnakosea sana kwa kudhani kule hamna. Acheni kuwasumbua watu. Ndugu anasita kukuambia usitumie kwa kuogopa utamchukuliaje lakini ungejua moyoni kwake tuu usingejaribu kujipendekeza. Kila kitu cha kula unachokiona hapa bongo marekani kipo tena zaidi ya hapa na nzuri zaidi kwa mfano samaki sato wale wa daraja la kwanza wote wanasafirishwa kwenda ula as well as kahawa na vinginevyo. Kujipendekeza sio kuzuri
Kojoa ulaleHasira zote hizi za nini?
Umepaniki sana au ww ndio wale wamama wa zamani wa posta?
Usiishi kwa kukariri..
Punguza stress sio nzuri kiafya.Kojoa ulale
aisee umenichekesha. UPS comeon dahhhJaribu UPS ndugu yangu. Pole kwa usumbufu..
Naandika hivi kwa masikitiko makubwa kwa kile kilichonitokea na ambacho nimekiona kabla pale Posta Mpya, Dar es Salaam.
Kwanza kila unapotuma mzigo, wanakwambia ukanunue tape kwenye duka moja pembeni na wanasisitiza lazima boksi zima lizungushiwe tape kitu ambacho hakina mantiki yoyote. Kuna hela nyingi inatengenezwa pale kwa jambo hilo tu.
Sasa leo ndiyo wameniweza kabisa. Nimeenda na vimizigo vyangu kutuma vikapu Marekani, baada ya kukaa siku nzima pale wakinizungusha mara hili na lile, mwisho wa siku wananiambia kila boksi la kilo 30 ni shillingi 600,000 na zaidi kutuma Marekani kama gharama za shipping wakati hapo kabla mizigo kama hiyo ilikuwa haizidi 40,000 kwa boksi. Hapo tayari nimeshaingia gharama za usafiri ambapo nimekaa na dereva siku nzima.
Nimerudi na mizigo yangu nikitafakari la kufanya ila kwa mtindo huu, sijui kama tutafika Watanzania wenzangu.
Kama wahusika wanadhani wamenikomoa, nawaambia wajitafakari tena. Maisha hayaendi hivyo kwa kuishi na uonevu, chuki na wivu usio na kichwa wala mguu.
Kama kuna mwenye ushauri, nipo tayari kuupokea.
Kwani haujui posta wamefilisika? Wakikupata hawakuachi salama watakukamua tu bila huruma.Naandika hivi kwa masikitiko makubwa kwa kile kilichonitokea na ambacho nimekiona kabla pale Posta Mpya, Dar es Salaam.
Kwanza kila unapotuma mzigo, wanakwambia ukanunue tape kwenye duka moja pembeni na wanasisitiza lazima boksi zima lizungushiwe tape kitu ambacho hakina mantiki yoyote. Kuna hela nyingi inatengenezwa pale kwa jambo hilo tu.
Sasa leo ndiyo wameniweza kabisa. Nimeenda na vimizigo vyangu kutuma vikapu Marekani, baada ya kukaa siku nzima pale wakinizungusha mara hili na lile, mwisho wa siku wananiambia kila boksi la kilo 30 ni shillingi 600,000 na zaidi kutuma Marekani kama gharama za shipping wakati hapo kabla mizigo kama hiyo ilikuwa haizidi 40,000 kwa boksi. Hapo tayari nimeshaingia gharama za usafiri ambapo nimekaa na dereva siku nzima.
Nimerudi na mizigo yangu nikitafakari la kufanya ila kwa mtindo huu, sijui kama tutafika Watanzania wenzangu.
Kama wahusika wanadhani wamenikomoa, nawaambia wajitafakari tena. Maisha hayaendi hivyo kwa kuishi na uonevu, chuki na wivu usio na kichwa wala mguu.
Kama kuna mwenye ushauri, nipo tayari kuupokea.
Kama mtu akisoma post yako bila umakini anaweza kufikiri shutuma unazotoa ni za kweli lakini ukitazama kiundani hakuna hoja ya kutetea madai yakoNaandika hivi kwa masikitiko makubwa kwa kile kilichonitokea na ambacho nimekiona kabla pale Posta Mpya, Dar es Salaam.