Wizi "teller counters" za uchumi - quality center

Wizi "teller counters" za uchumi - quality center

Afu kesho utamsikia mbeba box kanaswa na unga China. Umaskini unamsumbua huyo, anadhani kwa kujinadi nadi kwenye mitandao atapata umaarufu for self consolation.

Hawana hamu na Mimi hao wakiniona tu mikono chini siku wakiwasumbueni mniite
 

Kumezuka kamtindo kanakera kweli pale UCHUMI shoping mall ya Quality Center(Barabaa ya Nyerere) sehemu za kulipa bidhaa. Wanapokurudishia chenji wanakwambia huku wanabana pua "samahani chenji ya 'coin' sina". Hii tabia imekuwa ni mazoea yao si teller counter moja wala siyo siku moja. Sijui ni kitu gani kinachowafanya hao mabinti wadhani kuwa chenji ya mteja ni halali yao? Ndo utaratibu wa duka ua njaa ya vibinti hivyo? Kama wanataka kupokea"tips" za wateja si afadhali wakauze baa? Kwa kweli wanakera!



wewe kama hana chenji mwambie basi nirejeshee hela yangu..chukua vitu vyako...utaona anazitoa chenji
 
Mbona hata uchumi ya Segerea ujinga ni huohuo! Leo nimecha mia Tatu pale. Yaani mpaka anafunga siku sijui anakuwa amekusanya ngapi!

Si mnajifanya mnazo. Eti leo nimeacha mia tatu pale. Ujinga ni wako wewe mwenyewe. Inakuwaje unaacha hela yako eti kisa mwenye duka hana coins? Mtafisadiwa sana nchi hii kwa ujinga wenu wenyewe. Kama ni pesa yako umeipata in hard way hutaacha hata senti tano pale. Vinginevyo ni ujinga.
 
That must be yo mama.
‏"@turkii_alrr: الدوام كل يوم والراتب بالشهر مره... ياخي ليش ما نجرب العكس نداوم بالشهر مره ونستلم راتب كل يوم هاه شقلتو í-½í¸Š اللي موافقني #ريتويت ☺
 
Ukiambiwaga uhalisia wa maisha yako ya huko unaanza matusi...

Hao wazungu wanaachaga chenji?

Acha dharau inayo kudhalilisha

Apewe ukweli@Nyani Ngabu anatabia za upande wa Pili
 
Hi ndio tanzania hata ww kunamahali unafanya kisicho sahihi!na hii ni kwasababu ya gumu wa maisha

Siyo ugumu wa maisha maana kama ingekuwa hivyo watu wasingekuwa wanaacha mia tatu zao pale mpaka kuwa mazoea kisa eti mwenye duka hana coins.

Matatizo mengi tunayaanzisha wenyewe halafu tunakuja kulalama humu.
 
‏"@turkii_alrr: الدوام كل يوم والراتب بالشهر مره... ياخي ليش ما نجرب العكس نداوم بالشهر مره ونستلم راتب كل يوم هاه شقلتو í-½í¸Š اللي موافقني #ريتويت ☺

Gobbledygook!
 
acha roho mbaya mkuu kwani toka uanze kutoa umepungukiwa nini?
 
You can't even string together coherent, grammatically, and syntactically correct English let alone synthesize your thoughts into proper lingo!!!!!!!
Watu wengine bana!! Aliyekwambia kujua kiingereza ndo kuwa na akili nani? Hii ndo inaitwa colonization of the mind
 
Watu wengine bana!! Aliyekwambia kujua kiingereza ndo kuwa na akili nani? Hii ndo inaitwa colonization of the mind

Kuna niliposema kujua Kiingereza ndo kuwa na akili? We vipi wewe...
 
Back
Top Bottom