Game of throne
Member
- Mar 6, 2014
- 86
- 12
ni ulimbukeni tu unamsumbua huyo, nadhani ndo wa kwanza kujua kiigereza kijijini kwao.
hahaha hehehe huhuhuh kwi kwi kwi kwi
ni ulimbukeni tu unamsumbua huyo, nadhani ndo wa kwanza kujua kiigereza kijijini kwao.
Deal with it. Nyani Ngabu the idiot! Watu wana gazabu na chenji zao we unaleta ubishoo hapa? Nyambaf!
You are an imbecile. Njaa zenu tu hizo ndo maana mnalilia vichenji vya nauli za daladala.
Imbecile indeed that bitch who got me into her womb through her behind.
You can't even string together coherent, grammatically, and syntactically correct English let alone synthesize your thoughts into proper lingo!!!!!!!
Mbona una hasira sana?
You are an imbecile. Njaa zenu tu hizo ndo maana mnalilia vichenji vya nauli za daladala.
Hasira ndo nini? Na iko wapi hapo?
Ni ulimbukeni tu unamsumbua huyo, nadhani ndo wa kwanza kujua kiigereza kijijini kwao.
Ukiambiwaga uhalisia wa maisha yako ya huko unaanza matusi...
Hao wazungu wanaachaga chenji?
Acha dharau inayo kudhalilisha
Ukiambiwaga uhalisia wa maisha yako ya huko unaanza matusi...
Hao wazungu wanaachaga chenji?
Acha dharau inayo kudhalilisha
Mtu kaandika point unamjibu kwa jazba na kumkosoa hyo English unayoijua inakutofautisha vipi na binadamu wenzio?
Wewe akili yako sijui ina hitilafu gani tu. Huo uhalisia wa maisha yangu watu wameujuaje wakati hawajui hata nilipo?
Utajuaje uhalisia wa maisha ya mtu ilhali hata huyo mtu humjui? Unajua maana ya 'uhalisia' wewe?
Nikikuliiza tu unambie nilipo, ninapoishi, na shughuli ninazofanya utaweza?
Hebu kuwa na akili japo kidogo tu, daaah!!
Dunia iko katika uweza wa yule movu;Mawakala wake ndio wanamiliki vitega uchumi vyote vya dunia na wanapanga wachukue ngapi kwenye bidhaa na wamwachie ngapi mfanyabiashara. Katika kibano hicho mfanyabiashara naye anabana mishahara na marupurupu na kwa hiyo wafanyakazi wanakuwa dokoadokoa. Katika muktadha huo maajenti wa yule movu wanapindisha fikra za waajiriwa na kuzifanya ziwe zinalenga vijithumni badala ya mabilioni na hivyo kuwafanya maskini wa kutupwa lakini kubwa zaidi kuwatumbukiza katika makosa ya wizi, uongo, nk kwa manufaa ya bwana wao shetani. kukemeana ni bure kwani tatizo liko kwenye levo ya juu sana ambayo inatufanya hata sisi tuliokuja kununua tuwe tumevipata hivyo vijisenti kwa njia hizohizoHi ndio tanzania hata ww kunamahali unafanya kisicho sahihi!na hii ni kwasababu ya gumu wa maisha
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ng'ombe wewe acha kumind vijisenti mbuzi ni kuinvite umaskini tu.
Hakuna jazba hapo. Labda jazba lililopo lipo upande wako tu ndo maana unaona kuna jazba hata pale ambapo hata halipo.
Unazungumzia watu au Mimi?
Nawezaje kusema upo US kama sikujui?
Umeathiriwa mno na maisha kitu kidogo tu unakua mkali kama nyoka...
We ni kukaripia...kuzodoa...kushushua hivi inasaidia nini?
Mtu kulalamika anadhulumiwa chenji vibaya?