Dah!pole mkuu.Hii ni kwa wadau wa tasnia ya filamu
Usiku wa kuamkia leo wezi wamepachua kitasa cha mlango mkubwa wa kuingilia nyumbani kwangu na kufanikiwa kuingia ndani.
Wameiba vitu vingi vyenye thamani. Lakini kimoja ambacho kinahusiana na tasnia ya filamu ni computer aina ya Apple iMac 20-inch model, toleo la 2008. Computer aina hii hutumika sana na watayarishaji wa filamu.
Kwa hiyo, yeyote atakayeona au kusikia iMac inauzwa awasiliane nami kupitia +255-762-949577.
Nitakuwa tayari kulipa kiasi watakachotaka kurudisha mali hizo. Hawa ni vibaka wa mtaani. Asanteni.
na wezi wa siku hizi hawakuachi hivihivi...
Lazima wakutafune...mbona hamjaripoti hilo? Au limewavutia?
........Daaah ! Mkuu unawajua nini ? .....hata kama wamewananihinoo, bado hicho kitu hawakukiiba ndo maana hawajataja (yaani hakihamishiki)
oooooOk!Nimeelekeza kwanza hoja hii kwenye tasnia ya filam kwa sababu kifaa kilichoibiwa kinatumika zaidi kwenye tasnia hii.
I know,sisi wenyewe tulilala km tumekufa tumekuja kushtuka sa 1 na huwa tunaamka sa 11.hadi bedroom kwetu walifungua madirisha kwa nje wakavuta cm na vingine,laptop ilikua sitting room,yaani ukiona walivyovuruga!inaonekana walipania haswaa.kumbe kwa jirani yangu waliiba vitu kibao vya thamani wakamuachia na zigo la mavi sebuleniHawa jamaa naskia hupuliza dawa maana hata. walingia kwangu wala hawakuvunja na mpaka leo cjui walingiaje...na cjui kwa nin cktj hyo ckush2ka. Na c kawaida mim kuamka sa 4 asubuh mim huwa nakawaida kuamka mapema alfajiri.ila cku ya 2kio nlilakb fofofoo.