Wizi NMB-Mobile; Ole Wao Watumiao Airtel

Wizi NMB-Mobile; Ole Wao Watumiao Airtel

Bazazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2008
Posts
2,806
Reaction score
3,526
Kuna wizi mkubwa unaendelea kwa sasa nchini katika akaunti za wateja wa NMB kupitia huduma yao ya NMB-Mobile.
Wizi huwakuta zaidi wateja wa NMB-Mobile ambao wanawasiliana na akaunti za kupitia simu za kampuni ya AIRTEL. Matapeli hao huingilia maelezo binafsi ya wateja yaliyoko benki na kupata namba za siri za mteja.
Baada ya kuingilia, huizuia simu (block) ya mteja na kuanza kuwasiliana na akaunti na kuhamisha fedha.

Wengi wamelia kwa wizi huo.
Mbaya zaidi hakuna kitu kilichofanywa na Airtel wala benki ya NMB.

USHAURI:
Watu aidha wahame NMB au wajiondoe katika huduma ya NMB-Mobile iwapo wanatumia simu za Airtel
​

Bazazi anawatahadharisha wateja wa NMB hasa NMB-Mobile wanaotumia simu za kampuni ya AIRTEL


Bazazi!
 
Good alert!
Ni rahisi tu kushughulika na hili...kujitoa tu!
 
Hebu niambie mkuu, Je na Sim-banking ya CRDB?! Maana mimi niko hiyo na tena ninatumia line ya airtel?!
 
Hebu niambie mkuu, Je na Sim-banking ya CRDB?! Maana mimi niko hiyo na tena ninatumia line ya airtel?!
Bob Lee Swagger!
Sina uhakika na CRDB;
Lakini wasiwasi wangu ni kuhusika kwa Airtel,
Wizi wote unapitia Airtel hivyo sijui kama usalama wa akounti yako uko salama;
Kumbuka AIRTEL ni kampuni ya Wahindi;
Moja ya watu matapeli zaidi.​

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Bob Lee Swagger!
Sina uhakika na CRDB;
Lakini wasiwasi wangu ni kuhusika kwa Airtel,
Wizi wote unapitia Airtel hivyo sijui kama usalama wa akounti yako uko salama;
Kumbuka AIRTEL ni kampuni ya Wahindi;
Moja ya watu matapeli zaidi.​

Bazazi!

Sasa mkuu,nifanyeje kuweza kuverify kuwa niko salama, ili hata kama ni kujitoa nakua nimejitoa bila hasara?!
Niombe bank statement labda au?
 
Back
Top Bottom